Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Kila la heri timu ya asili yangu DR Congo leo nahisi niko nyumbani Kinshasa.
 
27' Msuva anajaribu kupiga kichwa cha kuvizia lakini mpira unaishia kwenye mikono ya golikipa wa Congo
 
Tumeshazoea kushinda ugenini, ngoja twende kwao mara ya pili watatukoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…