Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Yanga watakuwa wametuhujumu.

Haiwezekani itujazie wakongo kuanzia wachezaji hadi makocha.
 
Tuwe serious hawa jamaa wametuacha



HII NDO FIRST ELEVEN ya DRC Congo iliyocheza dhidi ya Taifa Stars:

⛔ Kiassumba - Servette (Switzerland)
⛔ Bakambu - Beijing FC (China)
⛔ Kakuta - Chelsea u20
⛔ Bastien - Standard Liege (Belgium) we
⛔ Mbokani - Former Norwich City Player
⛔ Akolo - Amiens (Fance)
⛔ Mbemba - Anderletch (Belgium)
⛔ Ngonda - Fc Riga (Latvia)
⛔ Moukoko - Diffaa (Moroco)
⛔Idumba - Cape Town FC (SA)
⛔Luyindama - Galatasary (Uturuki)
⛔ Kayembe - Eupen (Belgium)
⛔Bolasiye - Rizespor (Turkey)
⛔Jackson Muleka - Standard Liege (Belgium)
⛔ Fasika - Cape Town FC (SA)

✖️HAKUNA MCHEZAJI WA AS VITA WALA TP MAZEMBE.....
 
Benin ana points 10 DRC 8, kwa hiyo game ya mwisho DRC vs Benin matokeo yoyote yanainyima stars kufuzu.DRC akishinda anakuwa na 11, Benin akishinda anakuwa na 13, ikiwa draw DRC anakuwa na 9 Benin 11. Kwa hiyo safari imefika tamati.
Kwa Mara ya Kwanza sijasikitika kutolewa kwa Stars...tunao uongozi wa hovyo Sana
 
TFF na Wizara husika zimeshindwa kuisaidia biashara tu kuelekea Libya ghafla nasikia eti wanakusanya 1.6 billion, nikajua hawapo siriazi kabisa
 
Uvi uyu kocha wa National team akifukuzwagwa Tanzania anaendaga kufundisha wapi?
 
Back
Top Bottom