Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LimeshaondolewaView attachment 534097
Mkuu hilo bango pembeni mbona linaondosha uhondo pia lina blink balaa how to remove it pia picture quality si kivile kuna uwezekano kupata channel za HD!
LimeoindolewaHalf nzima upande wa kulia ni bango and then lina blink vibaya color zake wengine wabovu wa macho
View attachment 534104
Inafanyika nchi gani?Mchezo wa Tanzania na South Africa umeanza na upo live kwenye channel ya Online Tv Entertainment inayopatikana kwenye app Ya Online TV kutazama live download app hapa http://bit.ly/2n5MhHo au ingia www.onlineapptv.one
Mkuu ni karibia na sio kalibiaTz inaongoza ugenini!!! makubwa haya!!!
Nimesoma mchoro wa masudi kipanya wa leo kuhusu watz kugombania kulipa kodi!!! akidai kama imefikia hatua hiyo basi mwisho wa dunia umekalibia, sasa inabidi nahapa nishangae kuona Tz inaongoza ugenini!!!
Asante kiongozi, [HASHTAG]#ElimuHaainaMwisho[/HASHTAG]Mkuu ni karibia na sio kalibia
Ni kweli ila naona dakika hizi wanatukosakosaIpo sawa now japo quality tu ndio mjitahidi. Mtangazaji anasema Tanzania ipo week four game kwa wiki moja si mchezo
Bado tunaboresha na ndio tupo kwenye majaribio ya hiyo channel, kwa siku za mbele mambo yatakuwa poa zaidiIpo sawa now japo quality tu ndio mjitahidi. Mtangazaji anasema Tanzania ipo week four game kwa wiki moja si mchezo
Kwa MadibaYapo nchi gani haya?