Tanzania 1 - 0 Afrika kusini, yatinga nusu fainali

Tanzania 1 - 0 Afrika kusini, yatinga nusu fainali

Tushamjua waliokuwa wanaipa gundu Stars ya sasa... ni Jamal na mwenzake!!
 
Safi sana taifa stars

[hashtag]free Jamal malinzi[\hashtag][/hashtag]
 
Screenshot_2017-07-02-19-52-29.png
 
Yaani badala ya kushangilia ushindi watu wamepigwa butwaa! hongera vijana kazi nzuri
 
Mimi nilikuwa naangalua kwa kutegea mara naweka mara natoa. Bafana Bafana walikuwa muda wowote warudishe. Wamepiga mpira mwingi sana kwa dakika nilizoangalia.

Labda Nidhamu ya uncle Magu imewaingia Vijana nao wanajituma kwa nafasi yao.

Hongera Taifa Stars
 
Sasa Online Tv app ipo mubashara kukuletea Michuano ya Confederation Cup, kwenye channel ya Online Tv Entertainment, Bonyeza hapa kudownload kama bado hujafanya hivyo https://bit.ly/2n5MhHo
 
Back
Top Bottom