Teh teh teh!Pambafu
Kagunga ni mchezaji gani tena huyo? Au yule mchekeshaji zamani RTDDakija 82 Taifa stars anaongoza moja kagunga Maguli
sharau? ??Wacha sharau wewe
Sio hajabu ni AjabuHajabu na kweli........Mungu mkubwa
Hongera MalinziHongera Taifa Stars.
Hiyo sio CECAFA ni COSAFA ni michuano ya mataifa kutoka kusini mwa Africa. Tanzania ni wageni waalikwaHii ni ile ya CECAFA au ni kitu gani?