Anadumisha uzalendo, mila na desturi ya Tanzania. Big up Elias Maguli. Kwanza umetatangaza nchi na pia umekuza lugha ya taifa. Tatu ameepusha mengi. The na so za Wolper zingekuwa nyingi. For instance you know, you know this.........!!! Utaifa kwanza mengine baadaeNimependa sana Elias Maguli kahojiwa kingereza yeye kajibu kiswahili.. watatafsiri wenyewe..
Uzalendo umepotea mkuu.Halafu sijajua kwanini watu wengi mtaani hawajatizama nimejikuta napiga kelele mimi tu..
Mtani kwema? tunashukuru ule udhuru wa kujielekeza eneo korofi hutakutana na kadhia hiyo mpaka msimu ujao.Hongera Starz.. Hongera Maguli.
HeheheAisee!! mwisho wa dunia unakaribia Tz imeshinda ugenini!!!
Hahaa haaaa ... wa TZ wagombania kulipa kodi?!!Tz inaongoza ugenini!!! makubwa haya!!!
Nimesoma mchoro wa masudi kipanya wa leo kuhusu watz kugombania kulipa kodi!!! akidai kama imefikia hatua hiyo basi mwisho wa dunia umekaribia, sasa inabidi nahapa nishangae kuona Tz inaongoza ugenini!!!
Huyo yupo nyuma ya taifa starsKagunga ni mchezaji gani tena huyo? Au yule mchekeshaji zamani RTD
Akili zako mbovu sana
Supersport inatizamwa na nchi nyingi sana hivyo macho ya maalfu ya watu jana ilikuwa inaitizama Tanzania. kitendo cha Maguri kuongea Kiswahili kwenye mahojiano yale ya kiingereza katuvua nguo na kutuaibisha WaTanzania..atuombe radhi
Acha ujinga Fikiria kwa ubongo usitumie kalio
Supersport inatizamwa na nchi nyingi sana hivyo macho ya maalfu ya watu jana ilikuwa inaitizama Tanzania. kitendo cha Maguri kuongea Kiswahili kwenye mahojiano yale ya kiingereza katuvua nguo na kutuaibisha WaTanzania..atuombe radhi
Mkuu haujaona foleni kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari!! mwenyewe nimeshangaa kuona hali kama hii!!Hahaa haaaa ... wa TZ wagombania kulipa kodi?!!
hehehehe wasauzi wametokwa na povuJamani baada ya Taifa Stars kuibandua Bafana Bafana, umeyasikia maoni ya mashabiki?
Baadhi yao wameandika hivi:
sam_sundawana • 12 hours ago
''Under no circumstances we should lose to a non football nation like Tanzania. No disrespect to them but we got no business losing to them.''
MOLOI aka YELLOW Phythagoras • 15 hours ago
''But really beaten by Tanzania,in our home soil..our pride is on stake here.''
Maneno yao, umeyasikia, maneno yaooo!!!
Fuatilia hapa:
Match report COSAFA Castle Cup quarter-final South Africa vs Tanzania
What! Taiga???Taiga stars hoyeeee