Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2.
Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta hata kwa mwezi mmoja ili kupunguza impact za mafuta ambazo ni nyingi. Namtambua Ikulu Ina stock kwa ajili ya Rais,vipi sisi wananchi Sasa?