Tanzania 2nd Poorest country in the world....?

Tanzania 2nd Poorest country in the world....?

Umaskini wa Tanzania ni matokeo ya Uongozi mmbovu na SIASA CHAFU!!!!![/QUOTE]

Nje ya hapo ni kujidanganya na kujiliwaza. Tutaendelea kuota tuuu kila uchao.

Boramaisha na wengine mmesema jambo la maana sana kuhusu kurudisha viwanda. Inatia sana aibu.

Serikali ianzishe viwanda vya kusindika mazao yetu na kuuza hisa zake kwa watanzania hatua kwa hatua. Kiwanda cha shilingi bilioni 3 kinabadilisha kabisa maisha katika wilaya husika. Badala ya kutumia kwanza shilingi bilioni 450 kujenga kilomita 450 za barabara ya lami ni muhimu sana ukatumia fedha hizo (shilingi bilioni 450) kujenga viwanda 150 vya kusindika mazao yetu na kisha kutumia faida itokanayo na hivyo viwanda kujenga hizo kilomita za barabara ya lami. Tubalance matumizi yetu. Tuanze kwanza na barabara zisizo za lami ambazo zinapitika mwaka mzima.
 
Halafu hizo dolaelfu moja ni kwa sababu ya wenye vijisenti na wazee wa EPA, kina Mengi na wahindi wachache wanaboost average disproportionately. Averages are misleading. The real GDP of an ordinary Tanzanian is in the range of $400- 500, if that.Na huo ni mwaka wenye mvua nzuri, na nusu ya hizo kakopwa na vyama vya ushirika bila uhakika wa kulipwa kwa hiyo ni statistical money, real money inashuka $200 - $250.

Mwaka wa el-nino au la-nina/ mafuriko etc halve that, to around $ 100 -125.

Viwanja flani flani ni dinner moja tu ya mtu na date wake.

Real talk.

Kigumu Chama cha Mapumbuzi
 
Yours is outdated information. Check the link below, Tanzania ranks 152 out 182 countries in the World. Our GPP per capital is now USD 1,208.

Source: http://hdr.undp.org/en/statistics/

You're talking the samething. TZ ranked 152 out of 182, sasa aliyesema ni ya mwisho amekosea ni nini????????????????? yaani unaona ni bora kuwa wa 152 miongoni mwa nchi 182???? Mitanzania ndivyo tulivyo eti maendeleo ni maghorofa ya kariakoo
 
tatizo lipo katika mind set zetu attitude ya individuals + top management, tumeshikilia sisa na bla blaa badala ya kuzalisha. even vitu vidogo kabisa kama toothpick,! 1usd toyI, cheap shes,clothes(cheap ones),tunaagiza toka nje! Mwatex,Motex,Moroshoe,Canvas, cofee curring,machine tools vipo wapi? tumengangania NGO's na kuomba fedha nje!kampuni za simu hazizalishi zinachuma humuhumu, no export there!!! masoko ya mitaji nani mtz wa kawaida anaelewa?nani anakaaa na kutuelimisha? kila siku seminar,warsha, wakuu wa nchi kufungua na kufunga the same!tutaona majumba,magari mazuri but majority are suffering are in hell on earth! Pia tumezoea kulalamika bila kufanya kazi!
 
Halafu hizo dolaelfu moja ni kwa sababu ya wenye vijisenti na wazee wa EPA, kina Mengi na wahindi wachache wanaboost average disproportionately. Averages are misleading. The real GDP of an ordinary Tanzanian is in the range of $400- 500, if that.Na huo ni mwaka wenye mvua nzuri, na nusu ya hizo kakopwa na vyama vya ushirika bila uhakika wa kulipwa kwa hiyo ni statistical money, real money inashuka $200 - $250.

Mwaka wa el-nino au la-nina/ mafuriko etc halve that, to around $ 100 -125.

Viwanja flani flani ni dinner moja tu ya mtu na date wake.

Real talk.

Kigumu Chama cha Mapumbuzi

Hiyo figure ujuwe kuwa ni uwiano sio wa wale walioko katika nguvu kazi, ila ni kuanzia babu hadi mjukuu wa mwaka 0. Rejea kule shule isikokuwa na darasa hata moja, uchukue familia zenye watu 6, basi kipato cha familia kitakuwa 6*$500=$3000*Tsh1300=4,900,000 Tsh. Sijui ni familia ngapi zenye hiki kipato kwa mwaka? Ingekuwa hivi, mambo yangekuwa tofauti sana.
 
Hii ndio Tanzania aliyoitaka Kikwete?

Walipa kodi wakubwa
-Vodacom,TBL,Zain,TTC(hakuna mzalishaji hapa)

ukiingia nyumba/ofisi yoyote dar hali ifuatayo ni jambo la kawaida
-vijiko,umma,sahani,ndoo za plastic(india)
-furniture,tiles,(China)

Nguo tuvaazo
-chupi,tai,suti,mashati,viatu,suruali,sketi,soxi,mapazia,mashuka,(china)

vitu tutumiavyo mashuleni na maofisini
-stationaries,uniform za mashuleni,maofisini(china)

Mtanzania wa kawaida kabakiwa na kazi ya kuuza takataka tuletewazo na wahindi na wachina,basi.

hakuna productivity ya aina yoyote.imefikia wakati furniture kutoka china ni bei nafuu ukilinganisha na ile ya Tanzania.

kwa nchi changa kama yetu Raisi alitakiwa kuzunguka duniani kuomba viwanda kuja kuweka base zao Tanzania,(baada ya kuhakikisha ametatua tatizo la nishati).sio kuita wachuuzi na 4th grade Chinese kuja kutuuzia chupi.

Statistics is a B*^tch wanaojua kuzitumia vizuri can make them anything they wan't.BUT the truth remains.Tanzanians are poor,ndio maana hadi leo hii watu wanaiba side mirros za magari!!
 
swali kwa watanzania mnaokwenda china kutuletea takataka.KWA NINI MSIENDE KULETA MASHINE WANAZOZITUMIA????

mfano:kuna haja gani kwa mtu mzima kupanda ndege kufuata vifurushi vya suti feki wakati zinashonwa na vyerehani vya kawaida tu!na vitambaa urafiki vipo?!

si mngeenda once kuchukua hivo vyerehani then ushonaji ufanyike hapa nchini?
 
Halafu hizo dolaelfu moja ni kwa sababu ya wenye vijisenti na wazee wa EPA, kina Mengi na wahindi wachache wanaboost average disproportionately. Averages are misleading. The real GDP of an ordinary Tanzanian is in the range of $400- 500, if that.Na huo ni mwaka wenye mvua nzuri, na nusu ya hizo kakopwa na vyama vya ushirika bila uhakika wa kulipwa kwa hiyo ni statistical money, real money inashuka $200 - $250.

Mwaka wa el-nino au la-nina/ mafuriko etc halve that, to around $ 100 -125.

Viwanja flani flani ni dinner moja tu ya mtu na date wake.

Real talk.

Kigumu Chama cha Mapumbuzi

hizi za EPA na wahindi si wanazificha nje ya TZ hivi zinatumika kwenye kutafuta GDP?labda kina mengi..,na wabantu wachache wenye nazo..,
 
Kiranga, hapo kny blue......ndio tafsiri halisi ya hizo uwiano wa kipato wanacho sema ni above USD1000! Uhalisia wa mambo si hivyo kabisa, figure hiyo inakuwa uplifted na mapato ya watu wachache sana waliohodhi uchumi wa TZ kama ulivyowataja hapo juu.......! so hiyo inabakia kuwa theoretical figure ambayo haiwanufaishi chochote wananchi wakawaida, an kama decision zinafanyika based on figure za namna hii.......ni dhahiri wengi wanaumizwa!
 
Siku zote nimekuwa nikipingana na falsafa ya kwamba tuna maadui watatu, ujinga,maradhi na umasikini.Ukiangalia kwa umakini utagundua kwamba tumekuwa ni watu wa kupigana na nadharia.Ndo maana huwa nafurahishwa na msemo wa ADUI WA MTU NI MTU.Hapa ndo suluhsho lilipo.Haiwezekani kamwe tukawa ni watu wa kusubiri milipuko ya kipindu pindu na kifua kikuu ndo tuibuke tujifanye tunapambana na adui maradhi.Haiwezekani tusubiri mabweni yaungue moto na wanafunzi wafeli mitihani ndo tuibuke na kuanza kujifanya tunapambana na ujinga huku tume lukuki zikiundwa,hivi kweli suala la wanafunzi kufeli masomo linahitaji tume au timu?.Haiwewzekani watu wafe kwa njaa na viongozi wahusika wampotoshe mkuu wa kaya,huku wakiishi chini ya dola moja na tujifanye tunapigana na umasikini.Nikiri sijawahi kwenda JKT lakini akili ya kawaida inanailazimu kuamini kwamba adui haanzi kusakwa pale mlio wa risasi unaposikika,Hiyo mbinu ni hatari na haina manufaa.Natangaza rasmi kutowatambua maadui watatu badala yake mi nasema adui wa kupigana nae ni MTU.Ni kukengeuka kwa namna gani watu tuanze kupigana na matokeo?Tazama ujinga,maradhi na umasikini ni kama maafa yenye kusababishwa na mlipuko,mlipuko ambao umelipuliwa,mlipuko ambao haukujilipua,mlipuko uliosababishwa,mlipuko ambao ka hakika umelengwa kuathiri mahali.Kwanini tusisome alama za nyakati? machozi yanadondoka nahisi adui yuko pembeni yangu!!!!!!!!!!!! ADUI WA MTU NI MTU!!!!!!!!!!
 
hizi za EPA na wahindi si wanazificha nje ya TZ hivi zinatumika kwenye kutafuta GDP?labda kina mengi..,na wabantu wachache wenye nazo..,

Ngoja nikupe connection yake.........! Fedha za Mafisadi, tu haziwezi kuwa na impact kny GDP kama wakizitumia hukohuko nje ya TZ......lakini wakiagiza ma VOGUE, BENZ, HUMMER & Other machinery....zikipita bandarini wanlipia kodi karibia 60% ya CIF......!

Pili, wale mafisadi wanaozidungua hapa hapa TZ, wanajenga majumba huko masaki, O/bay etc au wanafanya masherehe, au wanatanua kny viwanja vikali au wanafanya shopping za nguvu.....huko kote kuna tax implication ambayo inapitia kny vifaa vya ujenzi, mafuta, vyakula, nguo etc etc!

So kwa vyovyote vile, pesa za ufisadi zina impact kny GDP mkuu!
 
Yours is outdated information. Check the link below, Tanzania ranks 152 out 182 countries in the World. Our GPP per capital is now USD 1,208.

Source: http://hdr.undp.org/en/statistics/

Heshima mbele mkuu, vipi hii inatutoa katika nchi maskini sana duniani?

Tanzania ni nchi iliyojaliwa vitu vingi sana mkuu check hapa:-

1.Madini
2.Gas
3.Mbuga za wanyama(utalii kwa ujumla)
4.Ardhi yenye rutuba
5.Wanyama wengi wafugwao
6.Samaki
7.Bahari
8.Maziwa
9.Mito
10. Bandari
11.Nguvu kazi watu (over 40mil people)
12. Tunazungukwa na nchi karibu 10
13.HATUJAWAHI KUWA NA VITA (achilia mbali kavita ka Uganda)
14.AMANI
15. KISWAHILI
16. etc
17. etc

Tatizo letu liko wapi kwa nini tu masikini kiasi hiki?
 
Sijawahi kuona matanuzi ya kustaajabisha kihivyo Dar,nchi yenyewe haina entertainnment venues..,i should say divided by 40Million people that shall be a VERY SMALL margin!!

hayo ma-BENZ,VODUE etc sio magari ya thamani sana kiasi cha kuinua GDP ya nchi as opposed to their quantity.Sio mengi kihivyo na thamani zao sio kubwa kihivyo.

labda wahindi wa nchi nyingine,wahindi wa EPA ni hodari kwa kukwepa kodi,vogue la 60M linaambiwa ni 20M kodi inalipiwa ya 5M yani shida tupu..,hii nchi chances are aliyeagiza escudo ya 15M akalipa kodi kubwa kuliko aliyeagiza VOGUE.

sherehe zao Obay,etc wanatumia fekifeki za china,faida wanampa mchina kaariakoo..,anayekusanya hela zote mwisho wa mwaka na kurusi nazo kwao.sikatai mchango upo lakini ni mdogo sana!!
 
Mtoto wa kikwere alishasema hajui kwa nini nchi hii ni masikini
 
swali kwa watanzania mnaokwenda china kutuletea takataka.KWA NINI MSIENDE KULETA MASHINE WANAZOZITUMIA????

mfano:kuna haja gani kwa mtu mzima kupanda ndege kufuata vifurushi vya suti feki wakati zinashonwa na vyerehani vya kawaida tu!na vitambaa urafiki vipo?!

si mngeenda once kuchukua hivo vyerehani then ushonaji ufanyike hapa nchini?

Kuendesha mashine hizo kunahitaji maarifa ya taaluma za sayansi na ufundi. Vile vile kuendesha mashine hizo kunahitaji umeme na maji - Watanzania hvyo vitu hatuna. Tunachoweza ni kuchuuza tu!!
 
Guys hebu chekini huu mtiririko

GDP* Per capital
Country ($)
Sierra Leone 400
Tanzania 523
Burundi 591
Malawi 615
Ethiopia 668
Niger 746
Guinea-Bissau 755
Dem. Rep. Congo 765
Mali 797
Congo 825

.....................

Source: - United Nations, Human Development Report

My Take: Nchi yetu imekua na amani from day one, nchi nyingi zimekuwa na uchumi dhaifu kwa sababu ya vita na machafuko mengine sisi tatizo ni nini...mr president why are we the world's poorest country?.

Halafu likaja swali la "Kizushi" ....if you know what i mean
Hiyo HDR ni ya mwaka gani..

Jamaa mmoja akaelewa swali akaja na

Yours is outdated information. Check the link below, Tanzania ranks 152 out 182 countries in the World. Our GPP per capital is now USD 1,208.

Source: http://hdr.undp.org/en/statistics/

sasa hebu chekini hapa chini reaction ya hilo jibu hapo juu.........

You're talking the samething. TZ ranked 152 out of 182, sasa aliyesema ni ya mwisho amekosea ni nini????????????????? yaani unaona ni bora kuwa wa 152 miongoni mwa nchi 182???? Mitanzania ndivyo tulivyo eti maendeleo ni maghorofa ya kariakoo

duuuhh!............halafu mwiingine akaja na lake

Mkuu heshima mbele, HDR ya lini inayoitoa Tanzania katika kundi la nchi maskini wa kutupwa duniani, tuwekee hapa.

....duuuh aisee............jamaa akaendelea

Heshima mbele mkuu, vipi hii inatutoa katika nchi maskini sana duniani?

Tanzania ni nchi iliyojaliwa vitu vingi sana mkuu check hapa:-

1.Madini
2.Gas
3.Mbuga za wanyama(utalii kwa ujumla)
4.Ardhi yenye rutuba
5.Wanyama wengi wafugwao
6.Samaki
7.Bahari
8.Maziwa
9.Mito
10. Bandari
11.Nguvu kazi watu (over 40mil people)
12. Tunazungukwa na nchi karibu 10
13.HATUJAWAHI KUWA NA VITA (achilia mbali kavita ka Uganda)
14.AMANI
15. KISWAHILI
16. etc
17. etc

Tatizo letu liko wapi kwa nini tu masikini kiasi hiki?

....duuuhh......frustrations acknowledged....!

Wakuu pamoja na kwamba Maelezo ya Masaki hayatutoi kwenye lindi la umasikini........ni muhimu kuwa facts zetu correct.....na Masaki amejaribu kuweka record straight (hulka ya JF).........
 
Heshima mbele mkuu, vipi hii inatutoa katika nchi maskini sana duniani?

Tanzania ni nchi iliyojaliwa vitu vingi sana mkuu check hapa:-

1.Madini
2.Gas
3.Mbuga za wanyama(utalii kwa ujumla)
4.Ardhi yenye rutuba
5.Wanyama wengi wafugwao
6.Samaki
7.Bahari
8.Maziwa
9.Mito
10. Bandari
11.Nguvu kazi watu (over 40mil people)
12. Tunazungukwa na nchi karibu 10
13.HATUJAWAHI KUWA NA VITA (achilia mbali kavita ka Uganda)
14.AMANI
15. KISWAHILI
16. etc
17. etc

Tatizo letu liko wapi kwa nini tu masikini kiasi hiki?

Tuna miss kitu kimoja Siasa Safi na Uongozi Bora!!

Tuombe Mungu atuletee hiki kitu.
 
Najiuliza kwa nini Tanzania ni maskini sipaji jibu. Maziwa makubwa yapo nchini kwetu mfano Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa. Ardhi nzuri yenye rutuba ya kutosha tunayo mfano Rukwa, Mbeya, Morogoro na kwingineko. Madini ya kutosha yapo kwetu. Tuna Tanzanite ambayo inapatikana Tanzania peke yake ulimwenguni, Dhahabu, Almasi ipo. Mifugo tunayo ya kutosha. Bahari tunayo. Tumejaliwa kila kitu katika dunia hii. Umasikini wetu unatoka wapi?
Mr. President tunaomba majibu. Haiwezekani sisi ni masikini, wananchi wanakufa njaa jua likiiwaka wakati tuna ardhi yenye rutuba nzuri ambayo haihitaji hata kuwekwa mbolea ya viwandani.
 
Kuendesha mashine hizo kunahitaji maarifa ya taaluma za sayansi na ufundi. Vile vile kuendesha mashine hizo kunahitaji umeme na maji - Watanzania hvyo vitu hatuna. Tunachoweza ni kuchuuza tu!!

hata vyerehani vinahitaji sayansi ambayo watanzania hatuna?!!mashine zipo simple na complicated..,tatizo mayakkhe sie hatutazami hilo.
kuna viwanda vingi sana vilikuwepo kabla ya kuuliwa na management mbovu,si chini ya 500.Tuanza na hivi kwanza..,

kwa nini General tyre ife?!wakati idadi ya magari TZ inazishinda manispaa ku-control traffic?

kwa nini kiwanda cha smenti kishindwe kushindana wakati nchi ina uhaba wa zahanati,makazi bora na huduma lukuki za afya?

kwa nini tusiwe hata na viwanda vya ku-assemble simu za mkononi wakati tunaongoza kwa matumizi yake barani africa?!

we do not play to our advantages!!
 
Back
Top Bottom