Tanzania and Kenya soon to fight

Tanzania and Kenya soon to fight

Hakuna Vita itakayoletwa na waandishi wa habari

Tangu digital media revolution, waandishi wa habari wamekua hawana influence popote, labda kwa retired people

Reading what Kenya media write makes me feel sorry for them

They are sorry, desperate and haters
 
uzuri UK yuko very smart kichwani na busara mingi
 
Hakuna Vita ya moja kwa moja
Ila tegemea Fitna Kiboko tokea Tanzania
Kuna kitu wanakitafuta
Subirieni mtaona
 
This thread is full of Tz coward homos, mkimaliza kujerk off mnaeza funga thread, i hate people who think war and death is a d1ck measuring contest
 
East Africa nchi pekee yenye uwezo wa kuhimili angalau kidogo vishindo vya Tanzania ni Uganda tu

ndio maama hao wengine wanalalamika saana lkn action ziro

Sent using Jamii Forums mobile app
wale majenerali wote wa uganda akina marehemu james kazini na akina muhoozi kainerugaba wamefundishwa monduli chini ya majenerali wetu hodari gidion sayore,mirisho sarakikya,hashim mbita na wengineo.
kwa hivyo hata uganda hawatusumbui kiviile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Covid iishe hakutakuwa na Vita ya kijeshi ila tunajua nani bingwa wa kuhimili HASIRA za njaa na madeni ya taifa
 
Silaha zenyewe ziko wapi? Tukipigana wiki tu maghala yote ya silaha kwishine. Ugali wenyewe kuupata ni vita tosha leo mtu aniambie niende porini nikapigane labda niwe chizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom