chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha uzalishaji na miundombinu ya usambazaji wa umeme..hio ndo mibovu..tanesco wana poor plans ..poor infastructure ..ndo maana ..ni vizur wangepata competition kutoka kwa kampuni nyingine...ni kama BRT ambavyo miundo mbinu ni mizur ila UDART services ni mbayaFact zipi? Bongo umeme unakatika kila wiki na imekua hivyo mwaka mzima unasema kuna surplus?
Hehehe, we unaishi wapi?