TANZANIA AND RWANDA ARE THE ONLY COUNTRIES WITH ELECTRICITY DEFICIT IN EA AS AT NOW.

TANZANIA AND RWANDA ARE THE ONLY COUNTRIES WITH ELECTRICITY DEFICIT IN EA AS AT NOW.

Fact zipi? Bongo umeme unakatika kila wiki na imekua hivyo mwaka mzima unasema kuna surplus?
Hehehe, we unaishi wapi?
Tofautisha uzalishaji na miundombinu ya usambazaji wa umeme..hio ndo mibovu..tanesco wana poor plans ..poor infastructure ..ndo maana ..ni vizur wangepata competition kutoka kwa kampuni nyingine...ni kama BRT ambavyo miundo mbinu ni mizur ila UDART services ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom