Tanzania Aviation University College

Tanzania Aviation University College

NICO2018

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
6
Reaction score
4
aaaaaa aha h raha sana tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua.
Mungu kasikia kilio cha wanafunzi tuliohitimu na nyumbani kwa kukosa kazi.
Special thanks kwa Mkuu wa Chuo Cha Tanzania Aviation UNiversity College.
 
Attachments

  • Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
    Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png
    76.9 KB · Views: 42
Last edited:
Wanafunzi mliokaa nyumbani kwa kukosa kazi?

Ninyi si wanafunzi ? Huko nyumbani mlikuwa mnafanya nini? Badala ya kuwa shuleni.

Halafu mnataka kazi wakati ninyi ni wanafunzi,

Enhee mkuu wa chuo ndio mtoa ajira?
Dream liner zinahusiana vipi na chuo chenu,

Hebu jibu hayo maswali mkuu
 
Mtoa mada inaoneka ana taarifa nzuri tu ya kutihabarisha,
Tatizo ana mahaba ya kisiasa ambayo anachanganya na masuala ya kitaaluma
 
Asaiv dreamliner ndo habari ya mjini bro..watu tulikua tunasoma zamani bila kujua kama tutapata kazi wapi, Lakin sasa mzee magu katutoa kimaso maso, Katuletea dude na hayo madude watanzania lazima tufanye kazi ndani yake na lingine linatua mwezi wa 11
 
Mtoa mada inaoneka ana taarifa nzuri tu ya kutihabarisha,
Tatizo ana mahaba ya kisiasa ambayo anachanganya na masuala ya kitaaluma
Binadamu bila siasa huwezi kuishi, Siasa hujenga barabara, mahospitali, mashule, HUnunua Ndege n.k Humu ndani tunapashana habari tu ni bora tusemezane maana watanzania tumezoea kulalamika badala ya kuchukua hatua tutashtukia dreamliner inaendeshwa na wakikuyu, wakamba, karenjini, maana majirani zetu hapo juu wanaumia sana kuona tuna madude ya maana kama dreamliner.NOvember linatua tena dude jipya.
 
Asaiv dreamliner ndo habari ya mjini bro..watu tulikua tunasoma zamani bila kujua kama tutapata kazi wapi, Lakin sasa mzee magu katutoa kimaso maso, Katuletea dude na hayo madude watanzania lazima tufanye kazi ndani yake na lingine linatua mwezi wa 11
Hebu Tueleweshe,

Mlisomea vitu gani huko chuo, na ajira zenu mtaajiriwa kama marubani, wakata tiketi, wahudumu au wafagiaji?
 
Kwahiyo wanafunzi wote hapo chuoni mmeajiriwa kwenye lidream liner letu sio?
 
Back
Top Bottom