Tanzania bado imekaza kamba kuhusu KQ

Mbolabilika

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Posts
2,128
Reaction score
2,867
Kutua kwa ndege za Kenya nchini Tanzania sasa ni kitendawili..
Kutua kwa ndege za Kenya nchini Tanzania sasa ni kitendawili.

19 August 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments

Tanzania imekaa kimya kuhusu Kenya kuanza tena safari zake za ndege nchini humo ikiwa ni zaidi ya siku 19 baada ya serikali kutangaza kuwa imeafikia makubaliano.

[http://pwanifm]

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Angani ya humu nchini (KCAA), Gilbert Kibe amesema wanangojea tamko kutoka nchini Tanzania na kuelezea matumaini yake kuwa matokeo yatakuwa mazuri.

Mamlaka ya Usafiri wa Angani ya Tanzania(TCAA) mnamo Julai 30 ilifuta mipango ya kuruhusu ndege za Kenya Airways kutua nchini humo ikidai kutengwa kwa Tanzania kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wangeruhusiwa kuingia Kenya chini ya vikwazo vilivyolegezwa kupambana vya kupambana na virusi vya corona.
 
Mpaka Tanzania itakapokua salama, kwani ninyi mnataka kwenda kwenye epicenter ya Corona?

Endeleeni na uchunguzi wenu mliofanya mkaona Tanzania haifai so endeleeni mpaka mtakapoona inafaa, yaani mnahangaika wakati uamuzi upo mikononi mwenu 🚮🚮🚮
 
Waambieni uamuzi ulishapitishwa kwamba Tanzania sio nchi salama kwa KQ kutua kwahiyo wasipoteze muda wao kusubiri, Hakuna mtu atakayewajibu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wanajipa moyo wanatumai watajibiwa hivi karibuni [emoji3][emoji3][emoji3] wanaitamani nchi ambayo wakaida ktk kukabiliana na Corona na ugonjwa umetapakaa nchi nzima lakini bado wanabembeleza kuja !!
 
Hawa jamaa tulikuwa tunawatafutia step kwa bahati nzuri wamejichimbia shomo wenyewe sisi kazi yetu tunafukia tu

Waendelee kusubiri hadi tumalize uchaguzi
Na tukiona tunafaidika ktk sector ya utalii kupitia hii bun ndio tushapatia sababu kilasiku vikao tu vitakaliwa lakina hakuna kufunguliwa
 
Eti mmekaza kamba? Sisiemu wanawahadaa tu wakitafuta kiki za kisiasa. Juzi mwenzenu ntamaholo amelilia humu kwamba hamkufahamishwa kwamba KQ bado ina 'access' anga ya Tz. Nikashangaa kuona kwamba KQ 482 ilitua JNIA na abriria, saa 0925 tarehe 17, ikitoka NBO. KQ 727 nayo ikaruka kutoka Mwanza siku hiyo hiyo, tarehe 17, ikisafirisha abriria hadi NBO.


Alafu KQ bado wanatumia route zao, 'crew' zao na marubani wao kusafirisha abiria wao kwenye ndege za KLM, Air France na China Southern(SKY TEAM) ndani ya anga ya Tz. Hawakukosea waliposema kwamba wajinga ndio waliwao. [emoji1]
 
Wakati waziri wako mwenye dhamana kasema bado wewe unaleta maneno ya kwenye khanga hapa
 
Hivi tukisema huna akili utakasirika kweli?, ninakuomba tafadha usikasirike kwasababu ni ukweli kabisa kwamba wewe huna akili, wewe ni mfano wa wakenya wengi wasio na akili. Unataka kusema hili gazeti lenye kuaminika zaidi hapa Africa pia ni CCM kwahiyo linadanganya halikumuhoji mtendaji mkuu wa KQ?, punguza upumbavu japo Kidogo.
Tanzania keeps mum on KQ flights

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Fungua Post #7 usome hilo gazeti la business time, au hata Business time pia huwaamini?
 
You dont know anything about airlines. infact I Doubt you have ever been more than 3 meters above ground
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Povu na hasira ni za nini? Hizo ni manifest za ndege zilizotua na kuruka JNIA na Mwanza hivi majuzi tarehe 17. KQ 482 na KQ 727 zipo. KQ=Kenya Airways. [emoji23] KLM, China Southern, Air France-operated by KQ. Najua ni ngumu kumeza ila hamna namna. [emoji38]
Wakati waziri wako mwenye dhamana kasema bado wewe unaleta maneno ya kwenye khanga hapa
 
Kwahiyo kati ya manifesto na mtendaji mkuu wa KQ pamoja na waziri wenu nani mwenyekusema ukweli?.

Ninarudia punguza ujinga kidogo, tunajua ninyi wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo hamjui dunia inavyoendeshwa, badala ya kuuliza mnajitia wajuaji.

Hizo ni code sharing, shirika linaweza kutoa routes zake kwa shirika lolote la ndege ambalo wanashare codes. KQ haizifiki Tanzania, lakini KLM ambayo ina share code na KQ ndio hizo zinazokuja kwa kutumia code ya KQ.
 
You dont know anything about airlines. infact I Doubt you have ever been more than 3 meters above ground
Usishangae Sana, 80% ya wakenya ndio wapo hivyo, ujuaji mwingi wakati kichwani hamna kitu kabisa, kwakeli ni vigumu sana kwa nchi ya Kenya kuelewana na majirani zake, au hata kwa wakenya wenyewe kwa wenyewe kuelewana, vichwa vya wakenya wengi vimejaa ujuaji wa kijinga Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…