Tanzania bado imekaza kamba kuhusu KQ

Tanzania bado imekaza kamba kuhusu KQ

You dont know anything about airlines. infact I Doubt you have ever been more than 3 meters above ground
Says you, reporting from Tandale. Maybe I always swam all the way to and from Belize, where I had been living, with my small clan, doing business and working for months on end before the pandemic. A mona aunque se vista de seda, mona se queda. Hijo de las mil putas cabrón!
 
Kwahiyo kati ya manifesto na mtendaji mkuu wa KQ pamoja na waziri wenu nani mwenyekusema ukweli?.

Ninarudia punguza ujinga kidogo, tunajua ninyi wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo hamjui dunia inavyoendeshwa, badala ya kuuliza mnajitia wajuaji.

Hizo ni code sharing, shirika linaweza kutoa routes zake kwa shirika lolote la ndege ambalo wanashare codes. KQ haizifiki Tanzania, lakini KLM ambayo ina share code na KQ ndio hizo zinazokuja kwa kutumia code ya KQ.
Hehehe!!povu kweli kweli
 
Jombaa, ikiuma sana unaweza pia ukajitia kitanzi. 😀
 
Kutua kwa ndege za Kenya nchini Tanzania sasa ni kitendawili..
Kutua kwa ndege za Kenya nchini Tanzania sasa ni kitendawili.

19 August 2020 Maximillah Welukhu 0 Comments

Tanzania imekaa kimya kuhusu Kenya kuanza tena safari zake za ndege nchini humo ikiwa ni zaidi ya siku 19 baada ya serikali kutangaza kuwa imeafikia makubaliano.

[http://pwanifm]

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Angani ya humu nchini (KCAA), Gilbert Kibe amesema wanangojea tamko kutoka nchini Tanzania na kuelezea matumaini yake kuwa matokeo yatakuwa mazuri.

Mamlaka ya Usafiri wa Angani ya Tanzania(TCAA) mnamo Julai 30 ilifuta mipango ya kuruhusu ndege za Kenya Airways kutua nchini humo ikidai kutengwa kwa Tanzania kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake wangeruhusiwa kuingia Kenya chini ya vikwazo vilivyolegezwa kupambana vya kupambana na virusi vya corona.
Mlikurupuka, ndo mkome sasa!
 
Eti mmekaza kamba? Sisiemu wanawahadaa tu wakitafuta kiki za kisiasa. Juzi mwenzenu ntamaholo amelilia humu kwamba hamkufahamishwa kwamba KQ bado ina 'access' anga ya Tz. Nikashangaa kuona kwamba KQ 482 ilitua JNIA na abriria, saa 0925 tarehe 17, ikitoka NBO.
2489242_Screenshot_20200817-105505.jpg
KQ 727 nayo ikaruka kutoka Mwanza siku hiyo hiyo, tarehe 17, ikisafirisha abriria hadi NBO.
2489248_Screenshot_20200817-110530.jpg

Alafu KQ bado wanatumia route zao, 'crew' zao na marubani wao kusafirisha abiria wao kwenye ndege za KLM, Air France na China Southern(SKY TEAM) ndani ya anga ya Tz. Hawakukosea waliposema kwamba wajinga ndio waliwao. [emoji1]
Screenshot_2020-08-18-21-23-17-269_com.flistholding.flightplus.jpg
 
Eti mmekaza kamba? Sisiemu wanawahadaa tu wakitafuta kiki za kisiasa. Juzi mwenzenu ntamaholo amelilia humu kwamba hamkufahamishwa kwamba KQ bado ina 'access' anga ya Tz. Nikashangaa kuona kwamba KQ 482 ilitua JNIA na abriria, saa 0925 tarehe 17, ikitoka NBO.
2489242_Screenshot_20200817-105505.jpg
KQ 727 nayo ikaruka kutoka Mwanza siku hiyo hiyo, tarehe 17, ikisafirisha abriria hadi NBO.
2489248_Screenshot_20200817-110530.jpg

Alafu KQ bado wanatumia route zao, 'crew' zao na marubani wao kusafirisha abiria wao kwenye ndege za KLM, Air France na China Southern(SKY TEAM) ndani ya anga ya Tz. Hawakukosea waliposema kwamba wajinga ndio waliwao. [emoji1]
Nugu huwa uko na ujinga mwingi??

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Eti mmekaza kamba? Sisiemu wanawahadaa tu wakitafuta kiki za kisiasa. Juzi mwenzenu ntamaholo amelilia humu kwamba hamkufahamishwa kwamba KQ bado ina 'access' anga ya Tz. Nikashangaa kuona kwamba KQ 482 ilitua JNIA na abriria, saa 0925 tarehe 17, ikitoka NBO.
2489242_Screenshot_20200817-105505.jpg
KQ 727 nayo ikaruka kutoka Mwanza siku hiyo hiyo, tarehe 17, ikisafirisha abriria hadi NBO.
2489248_Screenshot_20200817-110530.jpg

Alafu KQ bado wanatumia route zao, 'crew' zao na marubani wao kusafirisha abiria wao kwenye ndege za KLM, Air France na China Southern(SKY TEAM) ndani ya anga ya Tz. Hawakukosea waliposema kwamba wajinga ndio waliwao. [emoji1]

Those are just wishful thinking.
😛 😛 😛
 
We we we ilifafanuliwa kuwa siyo KQ ni washirika tu ambao itabidi muwalipe pesa kuleta wateja wenu. Tunaita kufaulisha. Tangu siku hiyo kila siku naangalia arrival list, hakuna cha KQ kwenye list.

Mpaka tumalize uchaguzi dec 28 tutakaa kufikiria omboli lenu babu
 
Kwahiyo kati ya manifesto na mtendaji mkuu wa KQ pamoja na waziri wenu nani mwenyekusema ukweli?.

Ninarudia punguza ujinga kidogo, tunajua ninyi wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo hamjui dunia inavyoendeshwa, badala ya kuuliza mnajitia wajuaji.

Hizo ni code sharing, shirika linaweza kutoa routes zake kwa shirika lolote la ndege ambalo wanashare codes. KQ haizifiki Tanzania, lakini KLM ambayo ina share code na KQ ndio hizo zinazokuja kwa kutumia code ya KQ.
Piga spana. Na tangu siku hiyo huo uchafu wao sijauona tena. Maana yeke wasafiri walikuwa hawajajua game ikoje, unakata tiketi ya KQ hafu unafaulishwa to KLM, nani avumilie ujinga huo? So wameanza kubook kwa ndege zinazoingia nchini bila vikwazo
 
Back
Top Bottom