Eti mmekaza kamba? Sisiemu wanawahadaa tu wakitafuta kiki za kisiasa. Juzi mwenzenu
ntamaholo amelilia humu kwamba hamkufahamishwa kwamba KQ bado ina 'access' anga ya Tz. Nikashangaa kuona kwamba KQ 482 ilitua JNIA na abriria, saa 0925 tarehe 17, ikitoka NBO.
KQ 727 nayo ikaruka kutoka Mwanza siku hiyo hiyo, tarehe 17, ikisafirisha abriria hadi NBO.
Alafu KQ bado wanatumia route zao, 'crew' zao na marubani wao kusafirisha abiria wao kwenye ndege za KLM, Air France na China Southern(SKY TEAM) ndani ya anga ya Tz. Hawakukosea waliposema kwamba wajinga ndio waliwao. [emoji1]