white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Na watu kama nyie ndio mliotufikisha hapa!! Kushabikia ujinga tu wewe timu gani kila michuano hakuna lolote timu nchi kama lesotho nayo ni ya kutusumbua hivyo?? Ligi yetu ya kimagumashi lazima timu ya taifa nayo iwe ya kimagumashi tu huo ndio ukweli mchungu na usimba na uyanga ndio sumu ya soka letu.Ingia wewe kwenye timu ya taifa ili utufungie mabao mengi shenzy type mibongo kwa lawama.
Wapo mkuu sema mayanga bdo aisee pia kwq gem za kimataifa ..ht game changing hana yy toka.kaanza na mfumo wake ule ule mpk mpira unaisha bhnWachezaji wenyewe wako wapi?? Hata huyo samata mtamlaumu bure tu timu ni ushirikiano wa wote!! Wengi wao ni vichwa vya ndezi tu, kesho utasikia mala vijana wamejitahidi. Kujipa moyo wa kijinga tu LESOTHOO!!!
Wewe binafsi umefanikiwa ktk lipi? TATIZO lenu watz ni kujiona hamna wajibu isipokuwa viongozi wenuWamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?
Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.
Hii nchi haijajipanga kisoka .
Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
Nimejikuta nacheka tu ! Hakika wabongo mmekata tamaa ! hadi mnataka wachambuzi tuingie kucheza !Ingia wewe kwenye timu ya taifa ili utufungie mabao mengi shenzy type mibongo kwa lawama.
Wengine wanadai eti oooh , eti kule ni karibu na kibiti , so that players waliogopa wadunguaji , sababu za chini mno!Chamazi ni Kama timu ilikua ugenini afu Misr tlifata nini
Hivi stars inacheza mfumo gani mkuu ? Mimi nimeona KOMA KUMWANYA TU .Wapo mkuu sema mayanga bdo aisee pia kwq gem za kimataifa ..ht game changing hana yy toka.kaanza na mfumo wake ule ule mpk mpira unaisha bhn
Hahaha mkuu umenichekeshaNimetoa option pale juu , rudia kusoma .
Asante mkuuPole na wewe pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine wanadai eti oooh , eti kule ni karibu na kibiti , so that players waliogopa wadunguaji , sababu za chini mno!
Mkuu taifa alikuwa anachrza formation ya ajabu iliyopitww na wkat..4-4-2 ambayo nyuma wanne kati wanne ..iliyopelekea kuwa na viungo wa wiwil ple kati mzamiru na mao ambao wote ni viungo wakabaji walikosa ubunifu kbsa ple kati ktk pasi za mwisho ...ndo mana baada ya kuingia sure boy ..alibadilisha mpira kwa ddk zile chache tulikuwa tunashambulia zaid sbb sure boy ni moja wa viungo wanaujua kushambulia ya kuandaa mashambuliz yan kiungo mshambuliaj...formation ile nzur km unalinda ushind wako tu unazuia tu bac.Hivi stars inacheza mfumo gani mkuu ? Mimi nimeona KOMA KUMWANYA TU .