Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu

Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu

Ingia wewe kwenye timu ya taifa ili utufungie mabao mengi shenzy type mibongo kwa lawama.
Na watu kama nyie ndio mliotufikisha hapa!! Kushabikia ujinga tu wewe timu gani kila michuano hakuna lolote timu nchi kama lesotho nayo ni ya kutusumbua hivyo?? Ligi yetu ya kimagumashi lazima timu ya taifa nayo iwe ya kimagumashi tu huo ndio ukweli mchungu na usimba na uyanga ndio sumu ya soka letu.
 
Wachezaji wenyewe wako wapi?? Hata huyo samata mtamlaumu bure tu timu ni ushirikiano wa wote!! Wengi wao ni vichwa vya ndezi tu, kesho utasikia mala vijana wamejitahidi. Kujipa moyo wa kijinga tu LESOTHOO!!!
Wapo mkuu sema mayanga bdo aisee pia kwq gem za kimataifa ..ht game changing hana yy toka.kaanza na mfumo wake ule ule mpk mpira unaisha bhn
 
Hii timu inavunja moyo hatare.. Lesotho ni timu ya kikuda tu, si ya kutubania sisi..
HaaaHaaaa sina mzuka kabisa inaboa kinouma
 
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?

Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.

Hii nchi haijajipanga kisoka .

Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
Wewe binafsi umefanikiwa ktk lipi? TATIZO lenu watz ni kujiona hamna wajibu isipokuwa viongozi wenu
 
Ingia wewe kwenye timu ya taifa ili utufungie mabao mengi shenzy type mibongo kwa lawama.
Nimejikuta nacheka tu ! Hakika wabongo mmekata tamaa ! hadi mnataka wachambuzi tuingie kucheza !
 
Wapo mkuu sema mayanga bdo aisee pia kwq gem za kimataifa ..ht game changing hana yy toka.kaanza na mfumo wake ule ule mpk mpira unaisha bhn
Hivi stars inacheza mfumo gani mkuu ? Mimi nimeona KOMA KUMWANYA TU .
 
Ule msemo "Kichwa cha mwendawazimu " umeendelea kututafuna wenyewe baada ya timu ya taifa ya tanzania TAIFA STARS kushindwa kupata ushindi dhidi ya Lesotho kwenye uwanja wa nyumbani. Achilia mbali kukosa ushindi, taifa stars imeonyesha kiwango kibovu na kushindwa kutengeneza nafasi za mabao huku kocha Salum Mayanga akionekana kukosa mbinu zozote. Nawapa pole watanzania walioumizwa na matokeo haya.
 
Hivi stars inacheza mfumo gani mkuu ? Mimi nimeona KOMA KUMWANYA TU .
Mkuu taifa alikuwa anachrza formation ya ajabu iliyopitww na wkat..4-4-2 ambayo nyuma wanne kati wanne ..iliyopelekea kuwa na viungo wa wiwil ple kati mzamiru na mao ambao wote ni viungo wakabaji walikosa ubunifu kbsa ple kati ktk pasi za mwisho ...ndo mana baada ya kuingia sure boy ..alibadilisha mpira kwa ddk zile chache tulikuwa tunashambulia zaid sbb sure boy ni moja wa viungo wanaujua kushambulia ya kuandaa mashambuliz yan kiungo mshambuliaj...formation ile nzur km unalinda ushind wako tu unazuia tu bac.
 
kuangalia mech ya taifa stars ni sawa na kuangalia X na Hg bila ya kum....
 
Waliosema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu hawakukosea.
Imejidhihirisha na itajidhihirisha. Kuishabikia taifa stars ni kujitafutia ugonjwa wa moyo. Nilijuwa lazima ifungwe tu. Hiyo ipo wazi hata km tungecheza na nani.
Ni upuuzi kuishabikia taifa stars.
 
Back
Top Bottom