ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Juzi tumemuona Emmanuel Macron akiwa Kenya kwenye summit ya kimataifa. Ukiangalia namna Wakenya walivyotumia hiyo nafasi utaona kabisa wanaelewa mchezo wa diplomasia, branding ya nchi, tourism, culture, na biashara za kimataifa.Kila event kubwa kwao huwa sio tu mkutano wa viongozi ni nafasi ya kuuambia ulimwengu kwamba Kenya ipo. Kenya ni modern. Kenya ni sehemu ya uwekezaji, utalii, teknolojia na culture.Unaona videos, media coverage, watu wanapost culture zao, lugha zao, chakula, music, city zao, maendeleo yao wanaitumia attention ya dunia vizuri sana.
Sasa ukiangalia sisi Tanzania mara nyingi bado tuna mindset ya zamani. Tuna vitu vizuri sana lakini hatujui kujitangaza aggressively kwenye international stage.
Nchi nyingine zinaelewa kuwa dunia ya sasa sio tu kuwa na rasilimali ni nani anajua kuonekana duniani. Attention ni power.Wakenya wana confidence sana kujisemea. Wanaingia kwenye international conversations haraka. Media zao pia huwa active sana kusukuma agenda za nchi yao.Hatujatumia vizuri soft power yetu.Na ukweli ni kwamba dunia haiwezi kujua ubora wako kama hujui kujionyesha in reality kujibrand kimataifa bado tuna safari ndefu sana.
Nchi nyingi zinafanya kila namna kurahisisha creators kushoot kwenye maeneo ya utalii, city centers, cultural sites na sehemu maarufu ili dunia izione kupitia macho ya creators.Sisi Tanzania tuna vivutio vikubwa sana lakini wakati mwingine creator anataka kushoot video nzuri anaambiwa vibali vingi, malipo, usumbufu au anaonekana kama anafanya kosa. Mwisho watu wanaogopa hata kuitangaza nchi yao kwa ubunifu.Serikali ingeweza kuweka mfumo rafiki vijana creators waruhusiwe kushoot freely kwenye maeneo ya vivutio.wasanii watumie vivutio vya nchi kwenye music videos,kuwe na support kwa documentaries na travel contents,creators na ma influencers waonekane kama mabalozi wa utalii na culture.