Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Fanya biashara nyingine mimi sijawahi kufundishwa na Mkenya wala Mganda na kiingereza changu kiko sawa. Unapojenga accent sijui unamaanisha nn? Unapenda Kikuyu na Kalenjin accents kuliko swahili accent. Acha utani...[emoji15] [emoji115]shule kubwa ipi inatoa Tanzania one? Feza? IST, Haven of peace, St. marys? au wapi? tueleze. hapa tunaongelea shule za watoto. lete mfano bila unafiki.
Aisee ni hatari sana mtu ambaye hajaelimika kusimamia taasisi ya uelimishaji.kitu usichoelewa ni kwamba shule zote hizo ulizozitaja haukosi mganda au mkenya. pia, tufike kipindi tukubali watz hawajui kiingereza, mtu asiyejua kuongea kiingereza fasaha hawezi kukufundishia mtoto wako akaongea kiingereza fasaha.
siwezii kubishana na wewe. ila kwa ufupi, ukimchukua mwalimu anayefundisha kiingereza shule ya secondary kwa form four five na six, bado anaongea broken sana. ukienda pale chuo kikuu hata udsm (kama ulishawahi kufundisha chuo au waulize wanaofanya iyo kazi) watu wana graduate kwa kukariri sio kwa kuandika kwenye makaratasi kitu kinachoeleweka. watu wanamaliza degree wanaongea broken wakati mtoto anayefundishwa na mkenya nursery school anaongea fluent english bora kuliko aliyemaliza udsm. waalimu wenyewe ni failures ndio maana wamekuwa waalimu, watamfundisha nani awe bora kuliko wao? mbona mnakimbia ukweli?Aisee ni hatari sana mtu ambaye hajaelimika kusimamia taasisi ya uelimishaji.
Hivi unataka kuniambia Tanzania nzima walimu wote wa English wanatoka Kenya?
Shule zote za serikali za secondary zimeajiri wakenya?
Shule za secondary ordinary and high level za serikali nchi nzima zinazofanya vyema zimeajiri wakenya?
Somo la English ndio somo linaloongoza kufeli kwenye shule za secondary?
Wewe kwako elimu ni English?
Ukweli ni kwamba walimu wa Kenya wanapokea mishahara midogo ukilinganisha na watanzania.Huyu mwenzako ana ubishi usio na tija. Niko na taarifa kuwa waalimu wa kenya pia ni wachapa kazi pia, ni kweli?
Mbn bado una mawazo ya kitumwa sana kamanda....kwan kujua kiingereza fasaha ndio lengo la kuwapeleka watoto shule?! Elimu ni ukombozi, ila usisahau kuna elimu rasmi na isiyo rasmi na elimu sio kujua kuongea lugha ya kigeni(kiingereza) kwa ufasaha!kitu usichoelewa ni kwamba shule zote hizo ulizozitaja haukosi mganda au mkenya. pia, tufike kipindi tukubali watz hawajui kiingereza, mtu asiyejua kuongea kiingereza fasaha hawezi kukufundishia mtoto wako akaongea kiingereza fasaha.
Kafungue shule yako Kenya basi pumbavu...kwani seminary schools zina Wakenya?siwezii kubishana na wewe. ila kwa ufupi, ukimchukua mwalimu anayefundisha kiingereza shule ya secondary kwa form four five na six, bado anaongea broken sana. ukienda pale chuo kikuu hata udsm (kama ulishawahi kufundisha chuo au waulize wanaofanya iyo kazi) watu wana graduate kwa kukariri sio kwa kuandika kwenye makaratasi kitu kinachoeleweka. watu wanamaliza degree wanaongea broken wakati mtoto anayefundishwa na mkenya nursery school anaongea fluent english bora kuliko aliyemaliza udsm. waalimu wenyewe ni failures ndio maana wamekuwa waalimu, watamfundisha nani awe bora kuliko wao? mbona mnakimbia ukweli?
mkuu ni kwamba, waalimu ahueni/afadhali wa tz ni wale waliosoma ualimu chuo kikuu nao wameenda kwa kuungauna kwasababu kwa kawaida ya tz mtu aliyefaulu vizuri huwa hadondokei kwenye ualimu. hivyo kumwajiri mtu aliyemaliza chuo kikuu afundishe nursery hautampata hata mmoja pamoja na kwamba mshahara nitakaomlipa ni mkubwa kuliko ule anaopokea serikalini usiozidi hata laki saba kwa mwezi kabla ya makato. unaishia kuwapata ambao hata university hawajafika ambao ni wabovu tu kichwani kiingereza cha kukariri kama wewe.Ukweli ni kwamba walimu wa Kenya wanapokea mishahara midogo ukilinganisha na watanzania.
Walimu wa Tanzania wote huchukuliwa na serikali kuanzia chuoni hivyo hawezi kuacha ajira serikalini aende shule binafsi.
Kuna upungufu mkubwa wa walimu Tanzania
Hakuna mwalimu Tanzania mwenye sifa asiye na ajira.
Huu ndio ukweli kwanini Tanzania inachukua walimu Kenya.
Swala la broken English hilo hata Kenya lipo tena kubwa tu nimesoma Tanzania sijakutana na mwalimu wa English anayeongea broken English kwenye ngazi zangu zote za elimu,siwezii kubishana na wewe. ila kwa ufupi, ukimchukua mwalimu anayefundisha kiingereza shule ya secondary kwa form four five na six, bado anaongea broken sana. ukienda pale chuo kikuu hata udsm (kama ulishawahi kufundisha chuo au waulize wanaofanya iyo kazi) watu wana graduate kwa kukariri sio kwa kuandika kwenye makaratasi kitu kinachoeleweka. watu wanamaliza degree wanaongea broken wakati mtoto anayefundishwa na mkenya nursery school anaongea fluent english bora kuliko aliyemaliza udsm. waalimu wenyewe ni failures ndio maana wamekuwa waalimu, watamfundisha nani awe bora kuliko wao? mbona mnakimbia ukweli?
I'm no sadist, and thing is you buy a whole lot of our goods. As a businessman I can't celebrate when my customer starts suffering coz I'll suffer momentarily due to lost sales, at least until when I find another customerIf you think we are heading in the direction of Zimbabwe,, good for you!
Take some popcorns and enjoy yourself while waiting for that to happen
kujua kiingereza fasaha kuna contribution kubwa sana kwenye kuelewa masomo kuanzia secondary hadi tertiary levels. Elimu ni ukombozi ukielewa kile unachokisoma ndio utakombolewa, ukikariri kitu usichokielewa kama wewe hautajua hata umuhimu wa kiingereza kwenye elimu wakati unadai umetumia kiingereza kama medium of communication kwenye elimu yako. sio kosa lako. 50% ya elimu kichwani iko contributed na uelewa fasaha wa lugha uliotumia kama medium ya instructions.Mbn bado una mawazo ya kitumwa sana kamanda....kwan kujua kiingereza fasaha ndio lengo la kuwapeleka watoto shule?! Elimu ni ukombozi, ila usisahau kuna elimu rasmi na isiyo rasmi na elimu sio kujua kuongea lugha ya kigeni(kiingereza) kwa ufasaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
watoto wako umepeleka kusoma wapi? sisi wenzio watoto wetu tumeshapeleka kwenye mashule yote aina mbili, tunajua tunachongea kwa uzoefu.Swala la broken English hilo hata Kenya lipo tena kubwa tu nimesoma Tanzania sijakutana na mwalimu wa English anayeongea broken English kwenye ngazi zangu zote za elimu,
Unavyoliongelea hili jambo ni kama hakuna mtanzania mwenye kujua proper English kabisa.
Hilo umesema wewe.Kwa hio na nyie KENYA mmeanza kujiweka level za USA&EU mnaweza kuiwekea TZ vikwazo,hahah maajabu matupu haya
Tombatomba idevice Model TH 45
seminary schools nazo bado zina watu wanaofaulu kwenye makaratasi ila ukiwaambia wajieleze kwa kiingereza ni mzigo mzito mno. hamuwezi kulijua hili hadi mtoke nje ya tz ndo mtaelewa kuwa mfumo wa elimu yetu ni mbovu sana.bora Rwanda wameshadeclare watatumia kiingereza tangu awali hadi mwisho. hao ndio watu wenye maono, sii unafiki kama wa wengine.Kafungue shule yako Kenya basi pumbavu...kwani seminary schools zina Wakenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo nnaloliona kwako umeng'ang'ania kujua kiingereza, unasahau kwmb hata mwanafunzi aliyekuwa makini darasani akamaliza form four tu hapa Tzee, anaweza kabisa akafundisha nursery school kenya kwa lugha ya kiswahili cha kuandika na kuongea na wakenya waka admire! Kw kuwa ni lugha ya kuzaliwa , lkn ukipma elimu yake anaweza kuwa very poor! Kw hyo em tudibate kwny professional &skills na co language!mkuu ni kwamba, waalimu ahueni/afadhali wa tz ni wale waliosoma ualimu chuo kikuu nao wameenda kwa kuungauna kwasababu kwa kawaida ya tz mtu aliyefaulu vizuri huwa hadondokei kwenye ualimu. hivyo kumwajiri mtu aliyemaliza chuo kikuu afundishe nursery hautampata hata mmoja pamoja na kwamba mshahara nitakaomlipa ni mkubwa kuliko ule anaopokea serikalini usiozidi hata laki saba kwa mwezi kabla ya makato. unaishia kuwapata ambao hata university hawajafika ambao ni wabovu tu kichwani kiingereza cha kukariri kama wewe.
tukija kwa wakenya, kule wasomi wengi hivyo kuna competition sana ya kupata kazi, kulipwa mshahara mdogo ni kawaida sehemu zenye uhaba wa ajira. hivyo wakija huku wakilipwa more than one million or so, kwao ni hela nyingi, na wanafanya kazi vizuri sana. watoto waliofundishwa na wakenya ambao wametumia kiingereza tangu chekechea hadi chuo wanakuwa vizuri kuliko watoto waliofundishwa na watz waliotumia kiingereza kwa mara ya kwanza form one.acheni kukimbia ukweli.
Protectionism and mercantilism are good policies?Good policies with benefits!!
You have been pretending for a while, and now a cure have been found for Uhuru's businesses in Tz!!
JMP KAMATA WEZI
Nimeshakuona wewe ni limbukeni wa English kama wakenya, nitajie iyo shule inayomlipa mwalimu wa Kenya million.mkuu ni kwamba, waalimu ahueni/afadhali wa tz ni wale waliosoma ualimu chuo kikuu nao wameenda kwa kuungauna kwasababu kwa kawaida ya tz mtu aliyefaulu vizuri huwa hadondokei kwenye ualimu. hivyo kumwajiri mtu aliyemaliza chuo kikuu afundishe nursery hautampata hata mmoja pamoja na kwamba mshahara nitakaomlipa ni mkubwa kuliko ule anaopokea serikalini usiozidi hata laki saba kwa mwezi kabla ya makato. unaishia kuwapata ambao hata university hawajafika ambao ni wabovu tu kichwani kiingereza cha kukariri kama wewe.
tukija kwa wakenya, kule wasomi wengi hivyo kuna competition sana ya kupata kazi, kulipwa mshahara mdogo ni kawaida sehemu zenye uhaba wa ajira. hivyo wakija huku wakilipwa more than one million or so, kwao ni hela nyingi, na wanafanya kazi vizuri sana. watoto waliofundishwa na wakenya ambao wametumia kiingereza tangu chekechea hadi chuo wanakuwa vizuri kuliko watoto waliofundishwa na watz waliotumia kiingereza kwa mara ya kwanza form one.acheni kukimbia ukweli.
What efficiency do you have? We are all importers from China , Japan & Europe!Protectionism and mercantilism are good policies?
What benefits are you talking about, protecting local producers' inefficiencies?
Ni elimu ipi unayoipigia chapuo hapa kuwa inahitaji kiingereza!? Anywayz, nmehisi hautakaa unielewe kwa kuwa tumepishana saaana kimtazamo!kujua kiingereza fasaha kuna contribution kubwa sana kwenye kuelewa masomo kuanzia secondary hadi tertiary levels. Elimu ni ukombozi ukielewa kile unachokisoma ndio utakombolewa, ukikariri kitu usichokielewa kama wewe hautajua hata umuhimu wa kiingereza kwenye elimu wakati unadai umetumia kiingereza kama medium of communication kwenye elimu yako. sio kosa lako. 50% ya elimu kichwani iko contributed na uelewa fasaha wa lugha uliotumia kama medium ya instructions.
watoto wa tz wengi wanaoanzia english tangu awali, hufika mbali kielimu na level yao huwa sio ya kuwashusha kufindisha watoto nursery na primary. hauwapati hata mmoja, utakaowapata ni wale wa kayumba walioanza kujifunza "my name is...."walipoanza form one wakakariri hadi form four kiubishi na kufeli wakaishia ualimu wa division four point 28. mtu gani msomi utamshusha aje afundishe huku? sasa wakenya wapo wengi wanaoweza kufanya hiyo kazi.Nimeshakuona wewe ni limbukeni wa English kama wakenya, nitajie iyo shule inayomlipa mwalimu wa Kenya million.
Alafu hata watoto wa Tanzania wengi tu wanaanzia English medium kuanzia elementary acha kukariri
hautakuja kuelewa hili hadi upate akili. kwasasa subiri kwanza mkuu.Ni elimu ipi unayoipigia chapuo hapa kuwa inahitaji kiingereza!? Anywayz, nmehisi hautakaa unielewe kwa kuwa tumepishana saaana kimtazamo!
Sent using Jamii Forums mobile app