kenya haijawahi kuishinda tz kwa figisu hata siku moja. tukiamu akupigana ban kwenye vitu watakaoathirika zaidi ni wakenya kuliko watz ambao wataathirika kidogo. hata hivyo, sipendi relationship ya aina hii kati ya nchi mbili. binafsi nina mpango kufungua shule muda si mrefu kwaajili ya watoto na kikwazo changu kikubwa na waalimu wa kenya kuja kufundisha tz, I will need to pay permit for each one of them kama $2000 kwa mwaka, hiyo ni hela nyingi ukilinganisha na mishahara nitakayowapa plus ada watoto watalipa.worse enough watz wanaoweza kuongea kiingereza hawawezi kukubali kuajiriwa kufundisha watoto, pia kiingereza cha kenya ni kizuri (accent) kuliko cha Uganda. ningepata waalimu wa kenya hata watano tu ambayo ni sawa na milioni za tz 20ml kwa mwaka kuwalipia permit tu. kwa kitendo hicho Tz tumefanya kitu kibaya sana....we are blocking our own education.