Tanzania bans Kenyan products even after truce

Tanzania bans Kenyan products even after truce

Wenyewe mumemtuma waziri wenu Mahiga aje hadi Nairobi ili mazungumzo yafanyike, na tukafikia hatua ya kuruhusu sote turejee biashara kama ilivyokua, halafu aliporudi mkaendelea kutunisha misuli.
Amini usiamini kwamba Tanzania hata pamoja na ukubwa wake, inahitaji ushirikiano na Kenya kama jinsi tunahitaji kushirikiana nanyi. Haya mambo yenu ya kutubeep halafu tukiwapigia mnaanza kulialia, ipo siku yatawashinda.
Mahiga alikuja baada ya Amina Mohammed kuja mara mbili tena kwa machozi, soma vizuri uone nani napata maumivu ya sindano.
 
Patamu hapo unapigwa ban halafu na Urais unadondoka anakuja Rais best wa Magu wanasuluhisha mambo Magu anapewa Mic aongee...Uhuru atatafuta pa kujifukia. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i think its high time huu mpaka wa tz na kenya ufungwe kabisa kila mtu abaki tu kivyake...hizi sarakasi zimechosha sasa.kila mmoja atakula hasara yake lakini baada ya miaka kadhaa atakua amezoea na maisha yataendelea
 
malizeni uchaguzi kwanza inawezekanani siasa.. si mnajua ni mashosti au mmesahau?
 
i think its high time huu mpaka wa tz na kenya ufungwe kabisa kila mtu abaki tu kivyake...hizi sarakasi zimechosha sasa.kila mmoja atakula hasara yake lakini baada ya miaka kadhaa atakua amezoea na maisha yataendelea
Tuwaachie Northern Frontier na Uganda border mfanye nao biashara. Museveni lazma aanzishe upya mgogoro wa Migingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya biashara nyingine mimi sijawahi kufundishwa na Mkenya wala Mganda na kiingereza changu kiko sawa. Unapojenga accent sijui unamaanisha nn? Unapenda Kikuyu na Kalenjin accents kuliko swahili accent. Acha utani...[emoji15] [emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app


Mmh? Ulituambia hili kuhusu yule wako mwalimu mkenya:

" yenyewe today i realized how influential i am on you guys! I have noticed how the number of viewers has risen in this thread from 200 to now over 800 just because i have given my opinion on "Mwagi" that i still stand firmly on! I know i am that bitter pill to swallow! most followed bad seed creature by Kenyans in this forum :hail:! BTW i have just remembered one chemistry teacher from Kenya at my o levels that could not pronounce word "vapour"! he usually used to say "fapour" at struggle and accompanied with a liter of saliva oozing out of his protruding teeth we used to come with umbrellas to cover ourselves from "rain"! He must have been a kalenjin!"

Uhuru Kenyatta Angara US Summit

Comment #22
 
Wenyewe mumemtuma waziri wenu Mahiga aje hadi Nairobi ili mazungumzo yafanyike, na tukafikia hatua ya kuruhusu sote turejee biashara kama ilivyokua, halafu aliporudi mkaendelea kutunisha misuli.
Amini usiamini kwamba Tanzania hata pamoja na ukubwa wake, inahitaji ushirikiano na Kenya kama jinsi tunahitaji kushirikiana nanyi. Haya mambo yenu ya kutubeep halafu tukiwapigia mnaanza kulialia, ipo siku yatawashinda.
Tanzania is much flexible to change its business more to Rwanda, Mozambique, Zambiano ,DRC, Malawi, & so

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlidhani JPM ni mchezo, na bado mtalia sn tu.

Tena JPM anza kukagua Nursury schools, Primary Schools, Secondary Schools, na Colleges/Universities uwarudishe wakenya wote kwao.

JPM ata wakong'ota subirini, huyu si JK. Si muli beep? Sasa mnapigiwa pokeeni..

JMP KAMATA WEZI

Kuna watanzania wengi tu wako Kenya na wana Fanya kazi au biashara au wanasoma anataka na wao wafukuzwe? Tuache roho za kimaskini hazitufikishi popote.
 
Kwa hio na nyie KENYA mmeanza kujiweka level za USA&EU mnaweza kuiwekea TZ vikwazo,hahah maajabu matupu haya

Tombatomba idevice Model TH 45

Mtawekewa vikwazo vya nini na nyinyi maskini hohehahe?
You have nothing to lose.
 
Kuna watanzania wengi tu wako Kenya na wana Fanya kazi au biashara au wanasoma anataka na wao wafukuzwe? Tuache roho za kimaskini hazitufikishi popote.
Fukuza wote!! Yaani Watz 40 kwa Wakenya 4000 una ona akili? Warudi wachukue hizi za Wakenya 4000 tutakao fukuza.

JPM KAMATA WEZI
 
kenya haijawahi kuishinda tz kwa figisu hata siku moja. tukiamu akupigana ban kwenye vitu watakaoathirika zaidi ni wakenya kuliko watz ambao wataathirika kidogo. hata hivyo, sipendi relationship ya aina hii kati ya nchi mbili. binafsi nina mpango kufungua shule muda si mrefu kwaajili ya watoto na kikwazo changu kikubwa na waalimu wa kenya kuja kufundisha tz, I will need to pay permit for each one of them kama $2000 kwa mwaka, hiyo ni hela nyingi ukilinganisha na mishahara nitakayowapa plus ada watoto watalipa.worse enough watz wanaoweza kuongea kiingereza hawawezi kukubali kuajiriwa kufundisha watoto, pia kiingereza cha kenya ni kizuri (accent) kuliko cha Uganda. ningepata waalimu wa kenya hata watano tu ambayo ni sawa na milioni za tz 20ml kwa mwaka kuwalipia permit tu. kwa kitendo hicho Tz tumefanya kitu kibaya sana....we are blocking our own education.
Mbona walimu wa English language wazuri tupo tu hapa hapa tz kwa JPM nipm tunegotiate usikariri vya nje ndo bora utakuwa ni mtumwa wa kifikra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vyema kutengana na kuwekeana vizuizi baina yetu, ila kama hiyo ndiyo suluhisho pekee hakuna jinsi, sio lazima kutegemeana, atakayeathirika atamfuata mwenzake na atawekewa masharti juu ya namna gani atashirikiana naye, dunia iko hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri umaskini wa Mali kuliko wa akili.
Huu upuuzi wako ndio wakenya wakekuwa waki take advantage!!

Kuku wengine bhana!! Mitandaoni hujidai wana akili ili hali hata vyeti vyake vyote Div One huwa anaiskia tu kwa wengine!!

JPM KAMATA WEZI
 
Back
Top Bottom