Tanzania bans Kenyan products even after truce

Huu upuuzi wako ndio wakenya wakekuwa waki take advantage!!

Kuku wengine bhana!! Mitandaoni hujidai wana akili ili hali hata vyeti vyake vyote Div One huwa anaiskia tu kwa wengine!!

JPM KAMATA WEZI


Heri umaskini wa Mali kuliko akili
 
Kuna watanzania wengi tu wako Kenya na wana Fanya kazi au biashara au wanasoma anataka na wao wafukuzwe? Tuache roho za kimaskini hazitufikishi popote.
Tulia bint sindano iwaingie taratibu
 
Tulia bint sindano iwaingie taratibu
Hakuna nchi iliyofanikiwa iliyokataa kufanya biashara na nchi zingine. T.Z msipobadilisha mawazo na tabia mtabakia kuwa LDC (least developed country) milele. Hata Uganda watawapita
 

Too bad for borth parties cz you end up need each other!
 
Hakuna nchi iliyofanikiwa iliyokataa kufanya biashara na nchi zingine. T.Z msipobadilisha mawazo na tabia mtabakia kuwa LDC (least developed country) milele. Hata Uganda watawapita
Mara nyingi huwa naona Kenya ndio mnaanzaga hizi chokochoko, when Tz rips right back vilio husikika kama hivi.. Do you remember zile tour Vans za Tz mlivyoleta chokochoko mkajibiwa mkalialia tukawahurumia, juzi hapa mnaban Bidhaa zetu kwa sababu ya Chuki zenu mkitegemea tuwaangalie tu,
But Kitu moja nimegundua Gikuyu wako na Roho mbaya sana,
A reason we want Raila in.
Besides, Kenya is Poorer than Tz, forget your Cooked GDP.
 

= nursery
 


Ati walimu wa Tanzania wana mishahara kubwa kuliko wa Kenya? lol. Joke of the century.
 


Never trust what some of these Tanzanians say.
 
Ati walimu wa Tanzania wana mishahara kubwa kuliko wa Kenya? lol. Joke of the century.
Ulifikiri wanalipwa kama nyie hahaha kila siku barabarani kumlamba uhuru awaonee huruma hahaha sio walimu sio madaktari wote wanapayuka hizo shilingi mbili mnazowapa hazitoshi hata fungu la sukuma hahaha

Watanzania wananeemeka bwana ndio mana huwasikii hawana huo muda wanachapa kazi sababu marupurupu ni manono. Chew this
 

Kenyan Teachers Not That Badly Paid, Data Shows
 
tukue to honest....tz ndio iko na shida.kuna kauoga fulani mko nako kwa kenya sijui ni kanini.
Tuko na kauoga? Hapana, tuko na katahadhari, na hicho ndicho kinachowasumbua ninyi, mlidhani mtaitafuna kiurahisi hii nchi, mkagundua mmezidiwa si kama awali. Usijidanganye, Kenya tangu uhuru haikuwa na shida ya kuitawala Tz kisiasa wakijua hilo hawaliwezi, ila Tz daily inathubutu hilo na ni miongoni mwa sera. Umoja.

Kenya dhidi ya mataifa mengine inahangaika na uchumi tena kwa manufaa ya wakenya wenyewe tu, hili nalo hutofautisha itikadi na filosofi baina ya haya mataifa, Tz ina scope pana zaidi ya hapo. Angalia mataifa mangapi yana mafungamano na Tz, kuanzia kiuchumi, kisiasa, kidiplomasia nk.

Usione vyaelea hivyo, it was strategically well planned from the very beginning,by the most powerful strategist in East and Central Africa, J. K. Nyerere. The choice is yours to believe or not, even to argue against such a truth. Over.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nani alianzisha hii saga? Was it TZ or KE? Jibu unalo, usikimbie kivuli chako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…