Tanzania bans three more Kenyan airlines over COVID-19 protocols

hamna kiongozi yeyote mwenye akili timamu ataruhusu mtanzania aingie nchi yake bila kupimwa na kuwekwa karantini ya siku 14..misimamo mliyochukua inazidi kuchangia mtengwe na nchi zingine na kwa akili zenu mnajiona victims
Sasa mbona wao Kenya wanataka kuja Tanzania?, Hakuna nchi yoyote ukanda huu inaweza kuitenga Tanzania, Zambia walitaka kujaribu, wakaona ni moto ikabidi waombe msamaha.

Kenya ndio nchi inayitengwa na majirani wake wote, Somalia imesema ndege za Kenya haziruhusiwi kuingia Somalia hadi Kenya iombe msamaha.
 
Mimi pia nilimpa Lowassa kipindi hiki Magu haitaji hata kupiga push up wananchi wameona wenyewe na wameridhika. Magufuli kiboko ya wakenya, Magufuli oyeee
Mm ningelikuwa ni Magu wallahi hata kampeni nisingelipiga ningewaambia "wananchi pesa za kampeni kwa mgombea urais wa ccm zitafanya kazi nyingine km nitapita hvyo wananchi naomba mnichague ili tuendeleze gurudumu lkn sitazunguka kupiga kampeni" af aone wananchi jinc walivyomuelewa [emoji3][emoji3][emoji3]
 

Huko umeenda sijui wapi na ndio inabidi nikupuuze tu, uchumi wetu kwa sasa unakaribia mara mbili yenu hayo mavitu mengi sijui unasema nini haswa hata sijayasoma..... mabeberu mtawategemea kwa muda sana bado hamjafikia jeuri ya kuagana nao Hizi ndizo nchi ambazo zinaisaidia Tanzania kifedha
 
Kipindi kile alipata tabu Sana kujieleza lakini sasa hivi yani nilitaka nusipige kura ila nitaenda kumchagua yeye tu bc harufu narudi cna hata ya mbunge wala diwani
Heheheheheeee sawa sawa kabisa, wkt mwingine hawa madiwani na wabunge sioni kazi yao kabisa zaidi ya kuckiliza maagizo kutoka juu lkn pia unamchagua diwani leo kesho anahama chama kwa sababu za kitoto kabisa eti naunga mkono juhudi, wtf. Mimi nitakwenda kumpigia Magu zen narudi zangu getto mana naona hawa wanaopambana na Magu wanaleta choko choko ziczo na mpango wowote ss dawa yao ni kwenda kumpigia kura mzee baba ili ashinde asubuhi asubuhi.
 
Good idea
 
Wabunge wenyewe hawajui hata kujiendesha kilakitu mpaka aseme Magu nipoteze mda wangu wa nini
 
Mimi pia nilimpa Lowassa kipindi hiki Magu haitaji hata kupiga push up wananchi wameona wenyewe na wameridhika. Magufuli kiboko ya wakenya, Magufuli oyeee
Wakenya ndio wanawazuia bongo kukua kiuchumi!
Wakenya ndio wamezuia mafao ya wazee kwa zaidi ya miaka 3!
Wakenya ndio walifanya ATCL kukamatwa na mbeberu!
Wakenya ndio wanawazuia Wakulima wa Koroshow kutolipwa!

Safi sana Magu Sasa Bongo itakuwa 1st world Country 😉
 
Nilitaka nishangae mwasiti asitaje koroshow [emoji3][emoji3]
 
Magu akijibu lazma wajambe, haya ni majibu ya subordinates wake. Tusubirie mzeebaba atasemaje
Hafu tunamsingizia Magu. Huyo ni mkurugenzi wa tcaa. Kenya haijawahi kujibiwa na waziri, size yao ni wakuu wa mikoa na wakurugenzi wa mamlaka tu. Kwa rais mbali sana teh teh
 
Tatizo sheria za uchaguzi zinamkataza kuendelea kupiga kazi za serikali hadharani ktk kipindi cha kampeni, itabidi arudi Chato akajifungie apumzike
Bora afanye hivyo na bado tungemchagua tu unajua yule mzee haiitaji bachelor ili kujua ni mzalendo, tangu ameingia madarakani yeye ni kazi kazi mara utamsikia yupo Lindi kesho yupo mtwara akitoka hapo atarudi kupitia njia ileile na atasimama tena kusikiliza kero za wananchi, zen cku mbili baadae utamsikia yupo Morogoro basi ujue mikoa yote iliyo karibu na moro atatimba, yn kwa Tanzania hii km kuna vijiji hajafika basi ni vichache sana mana tangu akiwa waziri yeye ni mchaka mchaka tu kupambana na wachakachuaji.

Pia tusisahau kwamba tangu amekuwa rais ametoka nje ya nchi mara chache sana sidhani kama zinafika tano na nchi zenyewe ni za Afrika zilizo karibu naye [emoji3][emoji3] huyu kiboko yn viongozi wa Afrika wanakazi kubwa kuvaa viatu vya huyu jamaa. Ni rais gn atakubali asiende kula raha Europe na Marekani, je hata ingelikuwa ni ww Joto ungelikubali upopoma huo?[emoji3][emoji3]

So itoshe tu kukubali kwamba Magu hata km kuna makosa ya kibinadamu anafanya lkn hiyo haiwezi kumuondolea taswira ya uzalendo iliyo katika maisha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…