joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sasa mbona wao Kenya wanataka kuja Tanzania?, Hakuna nchi yoyote ukanda huu inaweza kuitenga Tanzania, Zambia walitaka kujaribu, wakaona ni moto ikabidi waombe msamaha.hamna kiongozi yeyote mwenye akili timamu ataruhusu mtanzania aingie nchi yake bila kupimwa na kuwekwa karantini ya siku 14..misimamo mliyochukua inazidi kuchangia mtengwe na nchi zingine na kwa akili zenu mnajiona victims
Kenya ndio nchi inayitengwa na majirani wake wote, Somalia imesema ndege za Kenya haziruhusiwi kuingia Somalia hadi Kenya iombe msamaha.