chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Wakenya wangekujua kwa sura lazima wangekutafuta popote ulipo [emoji3][emoji3][emoji3]Bank huko ni mbali sana, hathari yake sio kubwa sana kwa wakenya na haitokei haraka, hapo hapo katika kuzuia mipaka ya ardhini ili wasitumie ardhi ya Tanzania kuzifikia nchi za kusini mwa Africa na vyakula kuwafikia wakenya ndio uchungu hutokea papo kwa papo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wangenichinja siku hiyo hiyo, ninawajua vizuri sana hao watu, ni makatili kushinda alshabaab, wana roho mbaya kama wanauza sumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu Wakenya wangekujua kwa sura lazima wangekutafuta popote ulipo [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama nawaona na ka Equit bank kenu....ndo maana niltoe ela zangu zoteRaia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
Fanya bidii hakuna vya bwerere!Anaitwa nani na shamba Lake lipo wapi?, ninataka kuliwahi pindi Magufuli atakapo toa amri ya kuwafurusha wakenya baada ya kuapishwa uchaguzi ukipita.
hukua na mchango wowote kwa equity na wala hutakua missedKama nawaona na ka Equit bank kenu....ndo maana niltoe ela zangu zote
SawaRaia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
Nimecheka balaa.Kama nawaona na ka Equit bank kenu....ndo maana niltoe ela zangu zote
Watatumia ethiopean kuja badala kupitia k2enu,ni wazi mtakosa revenuehuyu mzee atakufa na stress bure tu. hana akili kabisa. sasa dar is slum na zanzi bar si zitakuwa upungufu wa watalii?
Yanakutoka tu hebu tufanye ukaguzi wa kina kuhusu Kadi za uraia za Tanzania ndio utajua wakenya wangapi wanazo halafu unadanganya watu hapa mmejiandaa, wadanganye wengine sio Mimi narudia tena sio mimi. Nakwambia hivi Mimi Kadi ya Kenya hata bure sichukuiRaia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
Uje utalii kipindi cha Corona baki kwenu [emoji44][emoji44]mkuu, mtalii sio lazima awe ngozi nyeupe. hata mimi naweza kuwa mtalii katika nchi yenu masikini na kulipa hela ndefu na kukusababishia wewe na wenzako kula, kunywa na kuenda chooni. tumia akili kidogo
Kavimbiwa huyu, tukaze kidogo kwenye malori ya chakulanaona sindano imegusa mfupa, yaani li nchi lenu linalotegemea chakula cha misaada ndo unaropoka namna hii?
Hayo ni mawazo yako mtani mlizoea kuonewa huruma, mkifanya kiburi mnasamehewa sasa akili ziwakae na badoKipindi kama hiki cha uchaguzi 'system' iliyo madarakani huwa inapanic sana na kuparamia kila kitu, chochote kitakachosaidia kurejesha uzalendo wa watu wake ikiwemo hata kuibua chuki dhidi ya majirani. Haya hutendeka kote duniani, hata Marekani mijadala ya ukuta wao dhidi ya Mexico huibuka kipindi cha uchaguzi.
Nategemea makubwa kuibuka kwa siku zijazo maana uchaguzi wenu wa kipindi hiki utakua na ushindani mkali sana ambao haujatokea siku nyingine huko, ndio mara ya kwanza mnapata mgombea wa upinzani aliyejasiri na anazingua kupita maelezo, niliona jamaa alivyochizi hadi kaweka mapingamizi dhidi ya mgombea wa CCM.
Hapo lazima mpanic sana......
Kwa hiyo ule msemo wa kufa kufaana unafanya kazi [emoji2][emoji2][emoji2]We hivi unayo akili kweli? Hani ndege ya Kenya kutokuja TZ aumie mlala hoi wa Taz na wakati huo kumbuka asimu wenu Ethiopia anapiga kazi tu na Rwanda
Yanakutoka tu hebu tufanye ukaguzi wa kina kuhusu Kadi za uraia za Tanzania ndio utajua wakenya wangapi wanazo halafu unadanganya watu hapa mmejiandaa, wadanganye wengine sio Mimi narudia tena sio mimi. Nakwambia hivi Mimi Kadi ya Kenya hata bure sichukui
Ati eeeWewe huna haja ya kuchukua kadi ya Kenya maana umekwama hapo Buza kwamba hata Dar yenyewe huna jeuri ya kuweza kuitoka.
sasa hata Tanzania yenyewe haijulikani. mtalii lazma apitie Nairobi kwanza ajihisi bado yuko katika ulimwengu wa kwanza na kukaribishwa kwa chai kisha kupewa mahala pa kulala. baadae ndio anavushwa huko msituni kuona wanyama kama wewe kisha anarudishwa Kenya haraka upesi kabla kupata ugonjwa kama malaria na mengineyo ndio arudi kwao.
Ndio mjiandae kufa kwa njaa hamna adabu na baba zenu nyieRaia walio kwenye nchi zote mbili wajiandae kupatiwa masaa ya kuondoka, tunakwenda huko ila kunao baadhi yetu tulishajiandaa kisakolojia kwa hili, miaka yote hii Tanzania imekua ikihangaika na wivu wake dhidi ya Kenya lazima yangetokea na kwa yeyote anayeshangazwa na haya matukio atakua wa ajabu.
Uzuri Wakenya walio Tanzania walishaonyeshwa hizi chuki kwa muda mrefu hivyo huwa wamejiandaa, ila kwa maelfu ya Watanzania walio huku Kenya huwa wamejiachia achia kwa misingi ya kuitana ndugu.
Ndio mjiandae kufa kwa njaa hamna adabu na baba zenu nyie