Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee.

Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu panapostahili ili tusije Kuchekwa na Kudharaulika na wanaolijua vyema hilo Jina / Title Jasusi ambako GENTAMYCINE naona huko tunakoelekea ipo Siku hata Mwendawazimu Mmoja tutakuja Kumuita / kumpa Hadhi ya Jasusi.

Mbona GENTAMYCINE niendelee kubakia na hii hii Hadhi yangu na Kazi yangu ya UKULIMA kwani si tu kwamba Inanifaa bali Inanipendeza pia.

Happy New Year 2024 Majasusi wote ambao ni Members wote wa JamiiForums ukinitoa tu Mimi Mkulima Tukuka GENTAMYCINE.
 
Mkuu tulime tuzalishe mazao kwa wingi ngwara, mahindi maharage na alizeti siku hz border ya Kesha haina mambo mengi afu mazao ukiuzia Kenya inalipa sana
 
Back
Top Bottom