Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona nimekukamata mkuu 😂😂 hapa hutoki!blablabla.
Kuna methali hutumiwa na watu wa jamii yangu husema nikubalie niiweke kwa kiswahili "Mtu ambaye hajasafiri sana hajui kuna mpishi bora kuliko Mamake" ataishi kusifia chakula cha kwao ilhali cha kwingine bado hajala. Tafakari mwenyewe mkuu 😜😜mbona nimetoka, nipo outside. [emoji16][emoji16]
kawaida sanaKuna methali hutumiwa na watu wa jamii yangu husema nikubalie niiweke kwa kiswahili "Mtu ambaye hajasafiri sana hajui kuna mpishi bora kuliko Mamake" ataishi kusifia chakula cha kwao ilhali cha kwingine bado hajala. Tafakari mwenyewe mkuu [emoji12][emoji12]