Tanzania Black Friday ya nini?

Hata mimi nimeupata huo ujumbe…
 
Ukishajua hizo ni Ploy za watu kuuza vitu wala usingeshangaa..., Yote hayo hata mothers day, fathers day, grandfathers day, siku ya kula chocolate, siku ya kula mihogo n.k. ni katika ku-make a buck..., so if the end justifies the means kwa wauzaji sitashangaa hata kuifanya kila siku kuwa Black Friday.... au 10 days to Black Friday.... (anything to make a buck)
 
Siku ya kula chocolate 🤣🤣🤣
 
Black Friday ya SA hapo Macro wanashusha bei kama bure aisee sema toka mlipuko wa Corona punguzo la bei sio kubwa sana maana vinauzwa vitu vingi ili kuanzia tarehe 15 Jan mwaka unaofatia wanaingiza mzigo mwingine watu walikua wanapanga foleni kuingia macro ile karibu na Dragon City..
 
Macro ndo nini?
 
Mkuu sio USA tuu hata Hong Kong wana hiyo siku pia nilipouliza nikaambiwa hata Singapore wanayo pia nadhani hii Black Friday sio USA tuu...
 
Huku black Friday hawazingatiii sana 🤔mfano kwenye huduma nazotumia walionitumia ujumbe absa tu CRDB wamenichunia
 
Mkuu na sisi tunaosherekea halloween una maoni gani ? 🎃🎃
  • “Everybody is a book of blood; wherever we're opened, we're red.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…