Tanzania Black Friday ya nini?

Tanzania Black Friday ya nini?

Mimi nimepata ujumbe wa black friday kutoka crdb simbanking app na iko specific kwamba nifanye purchase ya bidhaa mtandao wa Amazon kutoka huko U.S.A. sasa ndo najiuliza hapa nikinunua kwa 60% off nikitumiwa huku bongo si tutasumbuana na TRA wao si wata calculate kodi ya bei ya awali mwl R.C.T
Hata mimi nimeupata huo ujumbe…
 
Ukishajua hizo ni Ploy za watu kuuza vitu wala usingeshangaa..., Yote hayo hata mothers day, fathers day, grandfathers day, siku ya kula chocolate, siku ya kula mihogo n.k. ni katika ku-make a buck..., so if the end justifies the means kwa wauzaji sitashangaa hata kuifanya kila siku kuwa Black Friday.... au 10 days to Black Friday.... (anything to make a buck)
 
Siku ya kula chocolate 🤣🤣🤣
 
Black Friday ya SA hapo Macro wanashusha bei kama bure aisee sema toka mlipuko wa Corona punguzo la bei sio kubwa sana maana vinauzwa vitu vingi ili kuanzia tarehe 15 Jan mwaka unaofatia wanaingiza mzigo mwingine watu walikua wanapanga foleni kuingia macro ile karibu na Dragon City..
 
Macro ndo nini?
 
Siyo suala la jina tu!

Angalia timing yake.

Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.

Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.

Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?

Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?

Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
Mkuu sio USA tuu hata Hong Kong wana hiyo siku pia nilipouliza nikaambiwa hata Singapore wanayo pia nadhani hii Black Friday sio USA tuu...
 
Huku black Friday hawazingatiii sana 🤔mfano kwenye huduma nazotumia walionitumia ujumbe absa tu CRDB wamenichunia
 
Mkuu na sisi tunaosherekea halloween una maoni gani ? 🎃🎃
  • “Everybody is a book of blood; wherever we're opened, we're red.”
 
Back
Top Bottom