EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Umejitoa ufahamu kabisa, kuwa wewe sio wa huku?Sasa si muanziashe ya kwenu!
Kwa nini lazima iwe baada ya Thanksgiving?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejitoa ufahamu kabisa, kuwa wewe sio wa huku?Sasa si muanziashe ya kwenu!
Kwa nini lazima iwe baada ya Thanksgiving?
Hata mimi nimeupata huo ujumbe…Mimi nimepata ujumbe wa black friday kutoka crdb simbanking app na iko specific kwamba nifanye purchase ya bidhaa mtandao wa Amazon kutoka huko U.S.A. sasa ndo najiuliza hapa nikinunua kwa 60% off nikitumiwa huku bongo si tutasumbuana na TRA wao si wata calculate kodi ya bei ya awali mwl R.C.T
Mimi ni wa Simiyu.Umejitoa ufahamu kabisa, kuwa wewe sio wa huku?
Mimi ni wa Simiyu.Umejitoa ufahamu kabisa, kuwa wewe sio wa huku?
Kiufupi nchi zinazopinga au kukandamiza ubinafsishaji. Mfano Russia, ChinaCommunist kwa maana ya nani mkuu au nchi gani?
Siku ya kula chocolate 🤣🤣🤣Ukishajua hizo ni Ploy za watu kuuza vitu wala usingeshangaa..., Yote hayo hata mothers day, fathers day, grandfathers day, siku ya kula chocolate, siku ya kula mihogo n.k. ni katika ku-make a buck..., so if the end justifies the means kwa wauzaji sitashangaa hata kuifanya kila siku kuwa Black Friday.... au 10 days to Black Friday.... (anything to make a buck)
Macro ndo nini?Black Friday ya SA hapo Macro wanashusha bei kama bure aisee sema toka mlipuko wa Corona punguzo la bei sio kubwa sana maana vinauzwa vitu vingi ili kuanzia tarehe 15 Jan mwaka unaofatia wanaingiza mzigo mwingine watu walikua wanapanga foleni kuingia macro ile karibu na Dragon City..
Mkuu sio USA tuu hata Hong Kong wana hiyo siku pia nilipouliza nikaambiwa hata Singapore wanayo pia nadhani hii Black Friday sio USA tuu...Siyo suala la jina tu!
Angalia timing yake.
Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.
Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.
Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?
Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?
Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
Nimejikuta nacheka tu😂😂
Sawa, ila imeanzia USA.Mkuu sio USA tuu hata Hong Kong wana hiyo siku pia nilipouliza nikaambiwa hata Singapore wanayo pia nadhani hii Black Friday sio USA tuu...
Nazungumzia miaka ya 2000 huko sio leo nadhani ni utaratibu wa Wazungu hata Australia wanayo pia hata club zao zina Black Friday hapo Thailand huko Pataya Black Friday ilikua na balaa sana...Sawa, ila imeanzia USA.
Nchi zingine zimeiga tu.
We acha tu hata Maxence Melo akigundua hii ploy huenda ataweka Jamii Forums day (Siku ilipoanza) watu wachangia vijizawadi (ni mwendo wa kutafutia matumizi our hard earned cash)Siku ya kula chocolate 🤣🤣🤣
Cheka tu, kesho mkifumuliwa na Asec kilio kinaendelea.Nimejikuta nacheka tu😂😂
Tutaiita Gamboshi day..mkuuSasa kwa nini msiite nane nane Monday au Sabasaba Saturday?
Bora iitwe hata hivyo!Tutaiita Gamboshi day..mkuu