Tanzania Black Friday ya nini?

Hilo punguzo la bidhaa ni kwa Wamarekani tu au ni hata mimi mbongo nikitaka kununua kitu Amazon nalipata? Kama nalipata kwa nini nisiherekee. Kuna ubaya gani CRDB tembo card wakiniwezesha "Kulisherehekea?"
 
Hiyo black friday mimi ndio naisikia leo wajameni.

Mashikolo mageni
 
Wewe no platnum member ungejaribu ku think deep juu ya haya mambo!!


Wewe hujui Kila sherehe iliyopo kwenye ulimwengu huu Ina maana yake upande was kiroho was pili na upande huo ninmmoja kama yalivuo makanisa ni mbalio mbali lakini yote yana ulimwengu was kiroho unaofanana!!?

Mi nadhani hiyo Black ipo kiroho zaid na inasherehekewa kimwili huku duniani!!!


Kuna connection ya ulimwengu was kiroho unaotawala nchi yetu na huo unaotawala hayo mataifa makubwa!!

Think deep
 
Hiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?
Na christmass ni sherehe ya wamarekani au warumi?

Kwa huyo tusisherekehe christmass kwa kuwa wanaazimisha Vaticano

Huna hoja mkuu?

Zile sherehe za mtoto duniani zinazosherekewa zilianzia marekani au Africa ya kusini?

Pasaka nayo ilianzia wapi?kwa hiyo Tanzania wasisherekehe

Huna hoja ,Umekurupuka mkuu
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuu

Kuna sherehe ngapi zinaadhimishwa duniani na hazikuanzia Marekani

Marekani wanaazimisha Ijumaa kuu au GoodFriday walianzisha wao?

Marekani anafuata calenda ya Gregory,Gregory ni Mmarekani?Gregorian calender wanayotumia marekani si waanzishe ya kwao

Sherehe za Mwaka mpya au New year zilianzishwa Marekani?

Uwe unatumia akili kufikiri mkuu
 
Hata UK kuna Black Friday. Hapo unasemaje mkuu?
 
Sasa hawa CRDB wamenitumia ujumbe wa Black Friday ya wapi?

[emoji1787][emoji1787]
Wewe kama unaamini Christmass ni ya warumi basi waambie watu wote duniani wasipumzike na uanzishe siku yako mwenyewe

Kama BlackFriday ni ya wamarekani pekee yao basi waambie CRDB wasikutumie sms au hama Bank,Kuna Bank nyingi sasa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…