Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #61
I live and let live. So live….Mkuu na sisi tunaosherekea halloween una maoni gani ? 🎃🎃
- “Everybody is a book of blood; wherever we're opened, we're red.”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I live and let live. So live….Mkuu na sisi tunaosherekea halloween una maoni gani ? 🎃🎃
- “Everybody is a book of blood; wherever we're opened, we're red.”
Hahahaaa.... Naomba ukumbuke kwenu, karibu Usukumani.Mimi ni wa Simiyu.
What do you know about that?Hahahaaa.... Naomba ukumbuke kwenu, karibu Usukumani.
Mmmhh.....!!!
Wewe no platnum member ungejaribu ku think deep juu ya haya mambo!!Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani.
Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga.
Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka.
Siku ifuatayo, yaani Ijumaa, huwa inajulikana kama Black Friday.
Black Friday ni siku ambayo madukani kunakuwepo na mapunguzo makubwa ya bei za vitu/ bidhaa.
Zamani kabla ya masoko ya mtandaoni hayajaenea na kuzoeleka, watu walikuwa wanaenda kupiga kambi kabisa nje ya maduka kama Best Buy ili kuwahi kuwa wa kwanza kuingia madukani humo pindi milango inapofunguliwa.
Ilikuwa ni vurugu sana. Watu walikuwa wanapigana. Wengine walikuwa wanakanyagana hadi kuuana kabisa.
Siku hizi hakuna sana hizo vurugu maana manunuzi watu wanafanyia kwenye mitandao.
Sasa cha kushangaza, eti hata Tanzania leo ni Black Friday!
View attachment 2823288
Ina maana Tanzania nako wanasherehekea Thanksgiving siku hizi?
Wameanza lini kusherehekea sikukuu za Marekani? Na July 4th nayo wanaisherehekea?
Kubalini, kataeni, chukieni, oneni wivu, jibamizeni ukutani, mwisho wa siku Marekani ndo taifa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya uhai!
Kama mnaiga hata black Friday, basi Marekani imewakamata panapo vizuri sana.
🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Mlimani city kule nimeona hadi black thursday mi nikajua siku yoyote inaweza kuwa black .kumbe black ni friday tu?? AhaaaHiyo black friday mimi ndio naisikia leo wajameni.
Mashikolo mageni
Serpent bloodlines are everywhereMkuu na sisi tunaosherekea halloween una maoni gani ? 🎃🎃
- “Everybody is a book of blood; wherever we're opened, we're red.”
Ngoja warusi weusi waone hii comment.....utashambuliwa kweli kweli.Ni suala la muda tu dunia nzima itakua kama USA, kasoro communists
Ndiyo, lakini siyo "leo"
Na christmass ni sherehe ya wamarekani au warumi?Hiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?
Mbona wewe hujaanzisha Boxing day yako kwani lazima iwe baada ya christmassSasa si muanziashe ya kwenu!
Kwa nini lazima iwe baada ya Thanksgiving?
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana mkuuSiyo suala la jina tu!
Angalia timing yake.
Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.
Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.
Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?
Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?
Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
Hata UK kuna Black Friday. Hapo unasemaje mkuu?Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani.
Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga.
Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka.
Siku ifuatayo, yaani Ijumaa, huwa inajulikana kama Black Friday.
Black Friday ni siku ambayo madukani kunakuwepo na mapunguzo makubwa ya bei za vitu/ bidhaa.
Zamani kabla ya masoko ya mtandaoni hayajaenea na kuzoeleka, watu walikuwa wanaenda kupiga kambi kabisa nje ya maduka kama Best Buy ili kuwahi kuwa wa kwanza kuingia madukani humo pindi milango inapofunguliwa.
Ilikuwa ni vurugu sana. Watu walikuwa wanapigana. Wengine walikuwa wanakanyagana hadi kuuana kabisa.
Siku hizi hakuna sana hizo vurugu maana manunuzi watu wanafanyia kwenye mitandao.
Sasa cha kushangaza, eti hata Tanzania leo ni Black Friday!
View attachment 2823288
Ina maana Tanzania nako wanasherehekea Thanksgiving siku hizi?
Wameanza lini kusherehekea sikukuu za Marekani? Na July 4th nayo wanaisherehekea?
Kubalini, kataeni, chukieni, oneni wivu, jibamizeni ukutani, mwisho wa siku Marekani ndo taifa bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya uhai!
Kama mnaiga hata black Friday, basi Marekani imewakamata panapo vizuri sana.
🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Wewe kama unaamini Christmass ni ya warumi basi waambie watu wote duniani wasipumzike na uanzishe siku yako mwenyeweSasa hawa CRDB wamenitumia ujumbe wa Black Friday ya wapi?
[emoji1787][emoji1787]
Ndo moja ya chimbo lako ukiwa huku etii?! Asante mkuu.