Tanzania Black Friday ya nini?

Tanzania Black Friday ya nini?

Kwamba hilo jina USA wana hati miliki nalo mtu akilitumia afanye kama wao
Siyo suala la jina tu!

Angalia timing yake.

Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.

Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.

Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?

Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?

Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
 
Wapi uko bongo hii wanasherekea iyo black friday niende kwenye madukanya maeneo hayo?
IMG_5548.jpeg
 
Sasa cha kushangaza, eti hata Tanzania leo ni Black Friday!

NN,

Black Friday is everywhere sasa, hata kwenye masoko ya kichina hasa ya mtandaoni kuna mapunguzo makubwa kufata utamaduni wa black friday wa US...

Mfano, hii ni app ya Aliexpress ambayo retailers wa China huuza vitu vyao globally...

View attachment 2823350
 
Siyo suala la jina tu!

Angalia timing yake.

Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.

Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.

Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?

Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?

Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
Mbona na nyie huko vitu vingi tu mmeiga toka huku hatusemi
 
NN,

Black Friday is everywhere sasa, hata kwenye masoko ya kichina hasa ya mtandaoni kuna mapunguzo makubwa kufata utamaduni wa black friday wa US...
Ok!

At least kuna mtu anayejua.

Dunia nzima inafuata huo utamaduni wa US.

Jana ilikuwa Thanksgiving. Leo ni Black Friday . Jumatatu ni cyber Monday.

US ni trendsetter.
 
Mimi nimepata ujumbe wa black friday kutoka crdb simbanking app na iko specific kwamba nifanye purchase ya bidhaa mtandao wa Amazon kutoka huko U.S.A. sasa ndo najiuliza hapa nikinunua kwa 60% off nikitumiwa huku bongo si tutasumbuana na TRA wao si wata calculate kodi ya bei ya awali Mwl.RCT
 
Back
Top Bottom