Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wapi uko bongo hii wanasherekea iyo black friday niende kwenye madukanya maeneo hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora tandahimba. ziwa nyasa
Siyo suala la jina tu!Kwamba hilo jina USA wana hati miliki nalo mtu akilitumia afanye kama wao
Ilani ya nani/nini/ipi?Kwani Ilani inasemaje??
Mangi akuwekeee punguzo? Labda kimeisha muda wa matumizi
HaiwezekaniNi suala la muda tu dunia nzima itakua kama USA, kasoro communists
Wapi uko bongo hii wanasherekea iyo black friday niende kwenye madukanya maeneo hayo?
Sasa cha kushangaza, eti hata Tanzania leo ni Black Friday!
Sasa hawa CRDB wamenitumia ujumbe wa Black Friday ya wapi?Mangi akuwekeee punguzo? Labda kimeisha muda wa matumizi
Mbona na nyie huko vitu vingi tu mmeiga toka huku hatusemiSiyo suala la jina tu!
Angalia timing yake.
Angalia siku ya leo inaitwaje huko Marekani.
Angalia historia ya Thanksgiving na Black Friday.
Jana Tanzania ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving?
Na kwa nini nyinyi wala vumbi muiite siku ya punguzo la bei za bidhaa madukani ‘black Friday’?
Mmekosa rangi ingine ya kuiita ya kwenu?
Ok!NN,
Black Friday is everywhere sasa, hata kwenye masoko ya kichina hasa ya mtandaoni kuna mapunguzo makubwa kufata utamaduni wa black friday wa US...
Vitu gani hivyo?Mbona na nyie huko vitu vingi tu mmeiga toka huku hatusemi
Muhimu shekeli ipatikane boss, huku sisi kweli unategemea tuje na kitu kipya kabisa kwenye uso wa dunia?! Labda wale babu zetu wa zamani! 😄Hiyo Black Friday ipo na kwenye maduka ya akina Mangi?
Ya kwetu ni nane nane na sabasaba kijanaSasa si muanziashe ya kwenu!
Kwa nini lazima iwe baada ya Thanksgiving?
Nimeshangaa sanaHuyo na kiranga wanaupenda na kuutukuza uzung sana
Communist kwa maana ya nani mkuu au nchi gani?Ni suala la muda tu dunia nzima itakua kama USA, kasoro communists
Sasa kwa nini msiite nane nane Monday au Sabasaba Saturday?Ya kwetu ni nane nane na sabasaba kijana