Tanzania Breweries (TBL) na ubaguzi wa kutoa dili za marketing kwa wasanii wa Arusha pekee

Tanzania Breweries (TBL) na ubaguzi wa kutoa dili za marketing kwa wasanii wa Arusha pekee

mleta mada acha ubaguzi wa kikanda utakugharimu sana mbona hushangai diamond kuwa balozi zaidi ya brand nne tena kila mara amekuwa ni yeye au utasema anafanya vizuri kwenye mziki.ila ukija kwa weusi utasema wanapewa kwa sababu ya ukanda

Daudi Mchambuzi
 
Hilo nilikuwa naliwaza Sana kitambo

Nilifanya kautafit kangu kadogo pale ilala nukagundua haya

Aliyepo kwenye kitengo Cha marketing n mkaskazini hvyo n ngumu Sana kwa mgogo Kama jobu kupata deals za tbl

Sasa wale wanaongea lugha 1 ile 10% inagawika vizuri bila kwere



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wanyakyusa mmekomaa na kwaya tu ndo maana
 
Kaa kwa kutulia jamaa.
Screenshot_20220106-190615.jpg
 
Tatizo lenu mna chuki Binafsi Husda na Roho Mbaya.... Kichwan mmeshajijengea Ubaguzi Baguzi tuu ivyo ni Ngumu kuwaza tofauti

Mkiambiwa hamjafikia viwango vinavyotakiwa hamtaki kukubali na kujiendeleza mnabakia kulalamika tu!!! Mjitathmini kama mna ubora unaotakiwa ama sivyo hampati kazi mtaishia kulia lia tu!!
 
Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South Africa walipelekwa Weusi na mabalozi wa Castle Lite ni Weusi. Adam Mchomvu (mtangazaji kutoka Arusha) pia ni balozi wa Castle Lite.

Mimi Mars (sio hata maarufu sana) amepewa ubalozi wa Flying Fish (kinywaji cha TBL) kwa sababu tu ni mtu wa Arusha. Kenedy the remedy mtangazaji kutoka Arusha ni mabalozi pia wa Flying Fish. Tatizo TBL ni nini?

Mbona Serengeti Breweries wao deals za matangazo wanawapa Watanzania wote kama tulivoona kwenye Guiness na Serengeti Lite.
Bosi wangu kuwaza hivyo wala haikusaidiii Mkuuu
Hakuna ambaye ahataki kazi TBL,
Mkuu tafuta connections mkuu
Kazi ji connection tuu bosi wanguu.

Acha kulialiaa.
Sawa
 
Nimegundua kuwa waTanzania wakaazi wa Kaskazini bila kujali kama ni wenyeji (makabila) wa huko wote wana bidii ya kujifunza lugha za kigeni ikiwemo Kiingereza hivyo wana upana wa kuelewa marketing, brand, promotion n.k na ndiyo maana ma CEO wa Kampuni hizo ambao wengi ni wageni kutoka South Africa, Kenya n.k wanawakubali wakaazi wa kaskazini kuwa ni rahisi kufanya nao kazi. Pia unakuta wasanii katika makundi yao wengine wana wenzao wenye certificate za trade, diploma, degree, masters na hata PhD tofauti na makundi mfano ya Dar es Salaam.

Exclusive interview na rapper Fido Vato



Source : SimuliziNaSauti
 
Hilo nilikuwa naliwaza Sana kitambo

Nilifanya kautafit kangu kadogo pale ilala nukagundua haya

Aliyepo kwenye kitengo Cha marketing n mkaskazini hvyo n ngumu Sana kwa mgogo Kama jobu kupata deals za tbl

Sasa wale wanaongea lugha 1 ile 10% inagawika vizuri bila kwere



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sasa ndugu yangu we mwenyewe unasema bia ni haramu then unataka tena kazi huko si utahakikisha bia hatuioni mtaani, wamepewa watu wanaopiga vyombo ili wafanye kwa ueledi, ni sawa na mtu ni Doctor of Medicine unamchagua kuwa waziri wa michezo si matumizi mabaya ya rasilimali watu hiyo?
Waache wawape watu wa Kaskazini kwa sababu ndio wanaoongoza kwa unywaji na ulevi
 
Back
Top Bottom