Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line

Shida ni kuwa hata kilomita moja hamjaweza kuanzisha so sioni Kibera wakipata hiyo bullet train.
Tuliza mshono dogo, kwanza anzeni kujenga vyoo hapo Kibera, vinginevyo bullet trains hazitokuja huko, tunaogopa zitakanyaga mavi yenu.
 
Tuliza mshono dogo, kwanza anzeni kujenga vyoo hapo Kibera, vinginevyo bullet trains hazitokuja huko, tunaogopa zitakanyaga mavi yenu.
Mbona unachelewa kujibu ni kama unafanya consultations? Hebu weka hata kilomita moja ya SGR bullet train Dar mpaka moro na kama hauna sema mapema.😀😀
 
Mbona unachelewa kujibu ni kama unafanya consultations? Hebu weka hata kilomita moja ya SGR bullet train Dar mpaka moro na kama hauna sema mapema.😀😀
Wewe kwanza anza kuweka picha ya choo kimoja cha Kibera, kama huna toa jibu
 
Wewe kwanza anza kuweka picha ya choo kimoja cha Kibera, kama huna toa jibu
Good boy naona umejibu haraka ila umetokwa na povu...vipi😀😀😀 consultations wamechanganyikiwa?

Sasa weka picha za SGR Bullet Train...ama hauna?🙄🙄🙄
 
Mbona wewe umeleta picha ya choo cha Ikulu yenu?[emoji115] [emoji115]
You never honor any part of a deal simply because you are unable to fulfill it...Picha yangu ya Dar mpaka Moro bado naingoja na ukiweka Tag Me...hakuna cha kuongea na wewe hadi ueke hata kama ni miaka mitano from now. Have a nice day
 
Bila kuniwekea picha ya choo cha Kibera sitajibu post zako hadi Yesu atakaporudi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
You never honor any part of a deal simply because you are unable to fulfill it...Picha yangu ya Dar mpaka Moro bado naingoja na ukiweka Tag Me...hakuna cha kuongea na wewe hadi ueke hata kama ni miaka mitano from now. Have a nice day

Hiyo reli siyo yenyu kwa SASA mpaka sijui lini.

Soma hapo chini.

The situation is at epidemic proportional as the numbers do not add up, instead, they are taking away. The constructing of the SGR was grossely inflated. Yet the inflated cost does not factor in the interest on loan, the 20 per cent depreciation of the currency and the Sh11.7 billion paid on land acquisition. In final analysis one can totally agree that, the facility will go back to Chinese under the receivership in perpertuity as no sign that the project will break even in near future.

With the volatility of the exchange rate, it will be a challenge estimating the total financing cost of the project by the time the loan is paid off in approximately 20 years,”
 
Wakati hii taarifa inaandikwa reli yenu ilikua bado story za dezo dezo, sasa leo hii ndio tumeona mkijitutumua kukoroga zege, ila bado sana, hivyo hamuwezi kuanza kulinganisha na reli ambayo inatumika.
Inatumika lakini kumbuka sio ya kwenu mpka baada miaka 30.

Kwa mfano ukiwa unatembelea gari la mkopo, mimi nikanunua la kwangu baade; unadhani nani anakuwa juu ya mwingine?
 
My big question is, where is the Tanzanian SGR in PICTURES for the 1st ONE KILOMETER?
 
My big question is, where is the Tanzanian SGR in PICTURES for the 1st ONE KILOMETER?

Where is yours?? Don't show me that one foreclosed by Chinese.
Bwa haaa haaa
 
Inatumika lakini kumbuka sio ya kwenu mpka baada miaka 30.

Kwa mfano ukiwa unatembelea gari la mkopo, mimi nikanunua la kwangu baade; unadhani nani anakuwa juu ya mwingine?

Hata kama itachukua miaka 100, kuna swali niliwaomba mnaobeza mkopo kwamba mjifunze kudadavua kitu tunaita socia-economic benefits of a project.
Tathmini imefanywa na kupatikana indicators zaidi ya 100 za manufaa ya huu mradi, muwe na uwezo wa kutumia ubongo na kuangalia zaidi ya mapua yenu.
Hilo gari unazungumzia, kama ukilitumia kila siku kuwahisha watu wako kwenye shughuli zao za kila siku, utaona kuna mafao mengi sana zaidi ya chuma cha gari.
Ninaweza kutumia muda wangu mwingi niwaelimishe mafao yote, lakini nyie ni wale wale hata sentensi moja hamtasoma.
 
Kwa hiyo Kenya ina mining activities zaidi ya Tanzania na inajua kuliko World Bank. Na kama kuna faida mbona mabehewa yanageuza tupu mpaka sasa!
 
Kwa hiyo Kenya ina mining activities zaidi ya Tanzania na inajua kuliko World Bank. Na kama kuna faida mbona mabehewa yanageuza tupu mpaka sasa!

HatawezA KUJIBU HAPO.
 
Hapo benefit kubwa ni psychics factor. That's we are (the only country) having the SGR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…