Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Badala ya kufundisha uwezo wa kupambana na maisha, wao wenafutisha kiingereza pekee, ona sasa kinachowapata.Wamepigwa na mchina ambaye hajui HATA kiingereza wanachojidanganya nacho. Bwahaa haaa haaa.
Utaongea kuhusu usichonacho kivipi? Muanzishe kwanza ili tukae kwenye meza moja kama wazee, lakini kwa sasa nyie ni watoto wadogo wa chekechea mnajaribu kukimbizana na wazee wa vyuo vikuu si mnahema na kuweweseka sana.Bwa haaa haaa haaa
Bora usiwe nayo milele kuliko kuibiwa wazi wazi kama hivyo.
Shamba la wachina.
Wanachukua SGR na bandari.
Utaongea kuhusu usichonacho kivipi? Muanzishe kwanza ili tukae kwenye meza moja kama wazee, lakini kwa sasa nyie ni watoto wadogo wa chekechea mnajaribu kukimbizana na wazee wa vyuo vikuu si mnahema na kuweweseka sana.
Hasira nikiwa na SGR ilhali wewe huna hata mita 200?Huu mchezo hauhitaji hasira. Tuliza tu mzuka dawa ikuingie taratiibu.
Huna SGR naomba tuweke records vizuri, mlichonacho ni gari moshi la miaka 1970, hilo linalingana na TAZARA.Hasira nikiwa na SGR ilhali wewe huna hata mita 200?
Hiyo ni kelele na povu babaa..pole sanaHuna SGR naomba tuweke records vizuri, mlichonacho ni gari moshi la miaka 1970, hilo linalingana na TAZARA.
Hasira nikiwa na SGR ilhali wewe huna hata mita 200?
Dawa inakuingia kisawasawa, hapo ndiyo utajua kwanini mpo katika kundi la failed statesHiyo ni kelele na povu babaa..pole sana
Nyie hamna SGR, kwa sababu haina NPV. NYIE mtakuwa na SGR mpaka wachina warudishe DENI lao miaka si chini ya 30 ijayo. Wakiwarudishia hapo ndiyo mje mezani muongee na sisi wamiliki wa SGR yetu, ambayo tumejenga na hela zetu.
Dawa inakuingia kisawasawa, hapo ndiyo utajua kwanini mpo katika kundi la failed states
Kenya ranked as 'failed state'
Hizi locomotives kwa ajili ya meter gauge yetu, zinalingana sawa na hizo zenu za so called SGR, zote zina jicho moja hapo mbele kama shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi ni bullet train😀😀😀😀Hizi locomotives kwa ajili ya meter gauge yetu, zinalingana sawa na hizo zenu za so called SGR, zote zina jicho moja hapo mbele kama shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi ni bullet train zakuchana dar hadi morogoro😱😱Hizi siyo za SGR ni za reli ya zamani. Vp zinafanana na za SGR YENU??
Ahaaa haaa haaa
Kwenunhuko kwasababu hamjawahi kuona bullet trains, mnaruhusiwa kuanza kuziita hiz bullet trains, ila zile zenyewe tumeshaziagiza kwa sasa zipo kiwandani zinatengenezwa, sio tomato kwamba utazikuta zimepangwa dukani, hadi utoe order wakutengenezee, wewe andaa passport uwe miongoni mwa nyang'au wa kwanza kuja kuzipanda.Hizi ni bullet train😀😀😀😀
Zitachana Dar Hadi Morogoro😀😀Kwenunhuko kwasababu hamjawahi kuona bullet trains, mnaruhusiwa kuanza kuziita hiz bullet trains, ila zile zenyewe tumeshaziagiza kwa sasa zipo kiwandani zinatengenezwa, sio tomato kwamba utazikuta zimepangwa dukani, hadi utoe order wakutengenezee, wewe andaa passport uwe miongoni mwa nyang'au wa kwanza kuja kuzipanda.
Kuna uwezekano zikafika hadi Kibera, ili angalau na ninyi mjione ni binadamu[emoji23] [emoji23]Zitachana Dar Hadi Morogoro😀😀
Shida ni kuwa hata kilomita moja hamjaweza kuanzisha so sioni Kibera wakipata hiyo bullet train.Kuna uwezekano zikafika hadi Kibera, ili angalau na ninyi mjione ni binadamu[emoji23] [emoji23]