Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line

Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line

Here we Go..... Gautrain SA

Like Jo'burg Like Dar Es Salaam

View attachment 717252View attachment 717253
Screenshot_2018-03-17-00-33-24.jpg
 
Wakati hii taarifa inaandikwa reli yenu ilikua bado story za dezo dezo, sasa leo hii ndio tumeona mkijitutumua kukoroga zege, ila bado sana, hivyo hamuwezi kuanza kulinganisha na reli ambayo inatumika.
But do you agree that your SGR is more expensive than ours? Mmepigwa?

Vv
 
Katika ujenzi wa reli tunaangalia gharama kwa kila kilometer moja, Tanzania ni $3M/km wakati Kenya ni close to $6M/km. pamoja na kwamba ile ya Tanzania ni ya umeme, high capacity, high speed and full automatic ukilinganisha na Kenya, lakini bado ya Kenya ni ghali karibia mara mbili ya ile ya Tanzania.
Huyo anaongozwa na mihemko ya kizalendo, hataki kuishirikisha akili yake kukubali kuwa wamepigwa!

Vv
 
But do you agree that your SGR is more expensive than ours? Mmepigwa?

Vv

Ahaaa haaa haaa

Wamepigwa mpaka mChina kaichukua MAANA ndiyo ilikuwa rehani ya mkopo wao. Hivyo jamaa wataiendesha kwa miaka 30+.
 
Ahaaa haaa haaa

Wamepigwa mpaka mChina kaichukua MAANA ndiyo ilikuwa rehani ya mkopo wao. Hivyo jamaa wataiendesha kwa miaka 30+.
Kwanza Muanzishe ujenzi wa reli yenyu ambayo bado iko kwenye renders alafu tutalinganisha bei. Chunga sana msipayuke na kuweweseka kisha mwishoye imaliziye kama bandari hewa ya Bagamoyo.
 
Kwanza Muanzishe ujenzi wa reli yenyu ambayo bado iko kwenye renders alafu tutalinganisha bei. Chunga sana msipayuke na kuweweseka kisha mwishoye imaliziye kama bandari hewa ya Bagamoyo.

Mchina kawagonga teh teh teh teh tihiii
 
Back
Top Bottom