Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kuniwekea picha ya choo cha Kibera sitajibu post zako hadi Yesu atakaporudi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tofauti na Tz hapa watumiaji wengi ni wazungu,tofauti ni kubwa ya walionacho na wasionachoGautrain = bombardier???
Here we Go..... Gautrain SA
Like Jo'burg Like Dar Es Salaam
View attachment 717252View attachment 717253View attachment 717254
Hawa jamaa basi tuu...Jozi wako mbali sana daah izo miundombinu Za barabara na reli sio mchezo man...Yafaa tukomae sana tuwe serious..
But do you agree that your SGR is more expensive than ours? Mmepigwa?Wakati hii taarifa inaandikwa reli yenu ilikua bado story za dezo dezo, sasa leo hii ndio tumeona mkijitutumua kukoroga zege, ila bado sana, hivyo hamuwezi kuanza kulinganisha na reli ambayo inatumika.
Huyo anaongozwa na mihemko ya kizalendo, hataki kuishirikisha akili yake kukubali kuwa wamepigwa!Katika ujenzi wa reli tunaangalia gharama kwa kila kilometer moja, Tanzania ni $3M/km wakati Kenya ni close to $6M/km. pamoja na kwamba ile ya Tanzania ni ya umeme, high capacity, high speed and full automatic ukilinganisha na Kenya, lakini bado ya Kenya ni ghali karibia mara mbili ya ile ya Tanzania.
Duh, umejikuta unaingiza siasa zenu ktk hii thread! Hivi Bavicha hawatafaidika na SGR project?Taarifa kama hii bavichaa wanatamani isomeke kinyume na ilivyo ss hivi!
Kwanza Muanzishe ujenzi wa reli yenyu ambayo bado iko kwenye renders alafu tutalinganisha bei. Chunga sana msipayuke na kuweweseka kisha mwishoye imaliziye kama bandari hewa ya Bagamoyo.Ahaaa haaa haaa
Wamepigwa mpaka mChina kaichukua MAANA ndiyo ilikuwa rehani ya mkopo wao. Hivyo jamaa wataiendesha kwa miaka 30+.