Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line

Tanzania building electric rail at half price of Kenya’s diesel Standard Gauge Railway line

Tofauti ni kwamba Tz hamna SGR hata kilomita moja na kama ipo weka ushahidi wa picha...😀😀

Bwa haaa haaa haaa
Bora usiwe nayo milele kuliko kuibiwa wazi wazi kama hivyo.
Shamba la wachina.
Wanachukua SGR na bandari.
 
Wamepigwa na mchina ambaye hajui HATA kiingereza wanachojidanganya nacho. Bwahaa haaa haaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Badala ya kufundisha uwezo wa kupambana na maisha, wao wenafutisha kiingereza pekee, ona sasa kinachowapata.
 
Bwa haaa haaa haaa
Bora usiwe nayo milele kuliko kuibiwa wazi wazi kama hivyo.
Shamba la wachina.
Wanachukua SGR na bandari.
Utaongea kuhusu usichonacho kivipi? Muanzishe kwanza ili tukae kwenye meza moja kama wazee, lakini kwa sasa nyie ni watoto wadogo wa chekechea mnajaribu kukimbizana na wazee wa vyuo vikuu si mnahema na kuweweseka sana.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira. Tuliza tu mzuka dawa ikuingie taratiibu.
 
Nyie hamna SGR, kwa sababu haina NPV. NYIE mtakuwa na SGR mpaka wachina warudishe DENI lao miaka si chini ya 30 ijayo. Wakiwarudishia hapo ndiyo mje mezani muongee na sisi wamiliki wa SGR yetu, ambayo tumejenga na hela zetu.
kadogosa-950x713.jpg

trlllll-660x375.jpg
😀😀😀
 
Hizi locomotives kwa ajili ya meter gauge yetu, zinalingana sawa na hizo zenu za so called SGR, zote zina jicho moja hapo mbele kama shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi ni bullet train😀😀😀😀
 
Hizi ni bullet train😀😀😀😀
Kwenunhuko kwasababu hamjawahi kuona bullet trains, mnaruhusiwa kuanza kuziita hiz bullet trains, ila zile zenyewe tumeshaziagiza kwa sasa zipo kiwandani zinatengenezwa, sio tomato kwamba utazikuta zimepangwa dukani, hadi utoe order wakutengenezee, wewe andaa passport uwe miongoni mwa nyang'au wa kwanza kuja kuzipanda.
 
Zitachana Dar Hadi Morogoro😀😀
 
Kuna uwezekano zikafika hadi Kibera, ili angalau na ninyi mjione ni binadamu[emoji23] [emoji23]
Shida ni kuwa hata kilomita moja hamjaweza kuanzisha so sioni Kibera wakipata hiyo bullet train.
 
Back
Top Bottom