Tanzania Chungeni mambo ya Eurobond

Tanzania Chungeni mambo ya Eurobond

Huu ushauri unampa nani sasa?

Huu ushauri upe serikali yako sababu Tanzania tuna wabobezi wa uchumi waliotukuka, ukisikia watunga sera nguli Africa wapo Tanzania, tatizo lilikua ni utekelezaji tu ila hata sera nyingi katika nyanja nyingi tu serikalini kwenu zimetoka Tanzania.

Now we got both, the missing puzzle is now found naye sio mwingine bali ni Jemadari JPM, ondoa shaka tupo njema.
 
Usiwe na wasi wasi na sisi Raisi Magufuli akili kubwa hawezi kuitumbukiza Tanzania yetu shimoni hata siku moja, hivyo tuko vizuri, asante kwa ushauri hata hivyo na kila heri.
Umesahau kuweka namba ya simu.
 
Asante kwa ushauri wako mzuri nadhani humu kuna wahusika watalizingatia hilo.
 
Tanzania could get Eurobonds even as an LDC just like Mozambique and Rwanda. They choze NOT to get these loans.
Kenyans have been lied to by jubilee that they are 'special' that's why they get eurobonds.
I wanted to tell this fruit the same!
 
Back
Top Bottom