Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Huu ushauri unampa nani sasa?
Huu ushauri upe serikali yako sababu Tanzania tuna wabobezi wa uchumi waliotukuka, ukisikia watunga sera nguli Africa wapo Tanzania, tatizo lilikua ni utekelezaji tu ila hata sera nyingi katika nyanja nyingi tu serikalini kwenu zimetoka Tanzania.
Now we got both, the missing puzzle is now found naye sio mwingine bali ni Jemadari JPM, ondoa shaka tupo njema.