Tanzania Commercial Bank (formerly Postal Bank) kuwa na consistency/predictability katika operations/services zenu. Mnakera sana!

Tanzania Commercial Bank (formerly Postal Bank) kuwa na consistency/predictability katika operations/services zenu. Mnakera sana!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
1. This is very disturbing, very stupid indeed!
Ni vurugu tupu...... leo kuna salary advance, pension advance, nisogeze loan etc etc kesho vimefutwa/hakuna...na ujinga kama huo mwingi.

Kibaya zaidi without notice! Toeni notice kuwa mwezi huu hakuna salary/pension etc advance! ili mtu ajipange na mengine aondoe matumaini huko...

2, Mikopo leo ipo, kesho ni mpaka miaka 2 ipite........ ujinga tu.

Kuweni na consistency, kama mnafuta services hizo futa ijulikane kuwa hazipo!
 
Back
Top Bottom