Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,866
Reaction score
5,747


Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika.

Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa.

Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.

Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.
 
Mwenye kujua zaidi nini kinajiri huko aendelee kutupakulia
 
Hivi Uhuru walishalipwa mishahara yao......??? Just asking
 
kwa hiyo umeileta Japanese ili tuijadili au ili tusome tu na kuelewa ?maana hadi hapa sijajua
 
Hata wewe utatimuliwa tu kwenye Buku 7 Group!

Magu anafuta kazi zote zisizokuwa za kikanuni kwa mujibu ya katiba ya chama!
 
pamoja na sababu zilizoainishwa kwenye mada hapo, zipo taarifa kuwa Bosi alitoa maelekezo ya gazeti hilo kutoandika chochote kuhusu kupotea kwa Ben Saanane, lakini mhariri Mkuu akakaidi baada ya wale vijana wa UTG wakiongozwa na Malisa GJ kulilaumu gazeti hilo kwa kitendo chake cha kulipa kisogo suala la kupotea kwa BEN.
Tusubiri mengj yanaweza kuibuliwa.
 
..labda wasomaji wengi wa gezeti hilo walikuwa wapiga dili.

..sasa kwasababu Magufuli amewabana wapiga dili basi mauzo ya gazeti nayo yamedorora.
Hilo nalo neno
 
aisee. Kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…