DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Hii nayo kali..labda wasomaji wengi wa gezeti hilo walikuwa wapiga dili.
..sasa kwasababu Magufuli amewabana wapiga dili basi mauzo ya gazeti nayo yamedorora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nayo kali..labda wasomaji wengi wa gezeti hilo walikuwa wapiga dili.
..sasa kwasababu Magufuli amewabana wapiga dili basi mauzo ya gazeti nayo yamedorora.
NAMBIE wewe mbea wa Lumumbahabari ya hapa njoo tupe umbea hapa pamoja na wafia saccos wa ufipa
MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.View attachment 454642
Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika. Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa. Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.
Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.
Yaani hata hii habari ya kweli unaikataa?MMEAKALIA MAJUNGU NYIE WATU MLIO VERY MISSERABLE AND HORRIBLE. Kwani likiwa na ukata yale matoilet paper ,mliyouza hadi machine yatapata hela na kufufuka?Huu ujinga ndio huwa unawafanya mfukuze watu waliozifanya taasisi za umma zipate hela mkidhani wao ndio wamefuata hela.Mkiingia mnachemsha. Kazi kubwa ccm waliyofanya ya hujuma,na bado mafanikio kiduchu ,msingekuja bila iabu hapa. MIaka nenda rudi watu wenye vichwa vidogo vya zika wamekuwa akikimbilia kuhujumu wengine waanaguke wakidhani wa ndio watainuka.Hizo nguvu mngezitumia kujijenga mngekuwa pema zaidi.
Linamuhusu Mwenyekiti wake that's why anazuga kuwa ni minor issuemkuu Media kuingia kwenye taharuki unaliona jambo dogo na lisilo la muhimu?
hivi uhuru walishalipwa? na walibakizwa wa ngapi vileView attachment 454642
Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika. Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa. Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.
Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.
Tatizo hamlijui kwanini wenye akili wanawacheka, sio wewe tuu kuna waziri fulani wa ujenzi ktk hotuba yake ya budget, alijichekesha sana kwa Mbowe. Si mara ya kwanza CCM kujipima na Chadema kila kitu.Na Mbowe ndio kipimo chenu, hata wanasiasa uchwara walijipima na Mbowe. Furaha yako inaonyesha ibada yako na wengine mbele ya Mbowe.Linamuhusu Mwenyekiti wake that's why anazuga kuwa ni minor issue
Unaenda udakuMwenye kujua zaidi nini kinajiri huko aendelee kutupakulia
Ya Uhuru hamjayamaliza mnashadadia ya wenzenu,acheni tabia za kichangudoa tulieni lumumbaMwenye kujua zaidi nini kinajiri huko aendelee kutupakulia
kwani kafanyeje mkuu, yeye katoa taarifa sasa mwenye kujua zaidi kama ni sahihi au si sahihi atoe..hebu wewe tupe ukweli mzee.Wewe IQ yako ni ndogo sana mshkaji wangu kwa jinsi ulivyo inaonyesha maisha yako ya kubahatisha una mawazo sana ya kimaskini
Sijui kama mleta mada atakuelewa maana minor issues ndizo zinamuweka mjininarudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Kafanye shereheMwenye kujua zaidi nini kinajiri huko aendelee kutupakulia
Swali zuriHivi Uhuru walishalipwa mishahara yao......??? Just asking
View attachment 454642
Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika. Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa. Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.
Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.
jamani hali siyo nzuri mimi mwennyewe sija nunua magazeti mwaka wote wa2016 baada ya uchaguziTuseme nae anabana matumizi km Mh au?