Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Ujio wa electronic media umeathiri sana kiuchumi printed paper industry dunia nzima.Hivi Uhuru walishalipwa mishahara yao......??? Just asking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujio wa electronic media umeathiri sana kiuchumi printed paper industry dunia nzima.Hivi Uhuru walishalipwa mishahara yao......??? Just asking
Ulimsaidia kuzibeba?Si aliuza chama kwa billion kumi mwaka jana
View attachment 454642
Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika.
Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo ilitokana na UKATA unaoukabila uongozi wa gazeti hilo, hali iliyopelekea Watumishi kutolipwa mishahara yao yapata miezi MITANO sasa.
Habari zaidi zinasema mhariri Mkuu wa Tanzania Daima, Ndugu NEVILLE MEENA ametimuliwa kazi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuingiza wafanyakazi wengi wasiyo kuwa na tija kwa gazeti huku wakilipwa mishahara mikubwa.
Wakati huo huo Mmiliki wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), FREEMAN AIKAELI MBOWE ametoa maagizo ya kuwatimua wafanyakazi wangine na kuwabakiza kumi na nne(14) tu.

We umeona ni minor ishu. Lakini pia hii inaashlia kunakitu kinaendelea chini ya kapetinarudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Umbea tu ndiyo uliokujaa,mwanaume.mzima.utavihwa Mganga ukasutweMwenye kujua zaidi nini kinajiri huko aendelee kutupakulia
Ya CCM yamekushinda uko kwa jurani paua nyumba yako inavuja.Tengeneza Nyumba yako hali ni mbaya,hayo Magazeti yenu hata robo ya mauzo hayauziki.Mmebaki kulazimisha mashirika ya umma na of is is za serikali kuyanunua.View attachment 454642