Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.

Kutokana na hali hiyo amelazimika kupunguza wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake.

Hii imekuja baadaya ya kuripotiwa kuwa kumekuwa na hali ya kutoelewana katika Mbowe na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe.

Mbowe akiri hali ni ngumu, apunguza mishahara na idadi ya wafanyakazi katika kampuni yake - SWAHILI TIMES

Naona sasa kila mtu anajifunza kubana matumizi.
Hivi ile meli ya kinana ilisharudishwa toka ughaibuni?
 
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.

Kutokana na hali hiyo amelazimika kupunguza wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake.

Hii imekuja baadaya ya kuripotiwa kuwa kumekuwa na hali ya kutoelewana katika Mbowe na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe.

Mbowe akiri hali ni ngumu, apunguza mishahara na idadi ya wafanyakazi katika kampuni yake - SWAHILI TIMES

Naona sasa kila mtu anajifunza kubana matumizi.
Chuki na visasi mnavyojenga dhidi ya wazawa wenye uwezo haitasaidia nchi kupata.Tende ni haki Acheni Kelele. Mbowe hajawekeza bongo tu kawekeza almost Afrika nzima, Dubai na uingereza sasa Wewe endelea kula matano pori yatakuua chakula cha Nyoka hicho
 
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.

Kutokana na hali hiyo amelazimika kupunguza wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake.

Hii imekuja baadaya ya kuripotiwa kuwa kumekuwa na hali ya kutoelewana katika Mbowe na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe.

Mbowe akiri hali ni ngumu, apunguza mishahara na idadi ya wafanyakazi katika kampuni yake - SWAHILI TIMES

Naona sasa kila mtu anajifunza kubana matumizi.
Hali hiyo kwenye biashara ni kawaida asimlaumu JPM kwani hata sisi ambao sio wanasiasa mwajiri wetu amepunguza wafanyakazi 30 na tuliobaki amepunguza mishahara kwa 20%
 
Back
Top Bottom