Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Safari hii kila goti na lipigwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawa kabisa..mbn agency nyingi za matangazo wako wachache na wanafanya kazi kubwa...ingawa kweli timua timua sio nzuriWanatosha sana.
Kwanza siungi mkono timua timua yoyote kwa sababu zozote zile lakini ni ukweli uliowazi awamu hii ya 5 sijui imekuja na nini, hivyo biashara zinapukutika, mauzo yanashuka, media nyingi zinashindwa kulipa mishahara, naifahamu TV moja kubwa ina staff 400, imetangaza retrenchment itapunguza staff 200 na kubaki na 200!.
Mimi mwenyewe Studio yangu ya PPR ilikuwa na Staff 15 nikipanga jengo zima la NHC pale Mkwepu lenye 8 rooms huku nikilipa kodi ya TZS 3.M kwa mwezi, sasa nimeshindwa, jengo nimeachia na kuhamia Posta House nimepunguza 10 people tumebaki watu 5 tuu! .
Tunatumia ICT na kufanya multiple tasks
1. Mimi Boss ndio mkurugenzi, maneja na paymasters malipo yote kwa Mpesa
2.Chief Camera ndio mtu wa light ndio mtu wa sound
3.Chief editor ndio editor ndio mtu was graphic.
4.Office manager ndio receptionist ndio secretary
5.Dereva ndio mtu wa logistics, ndio mesenja.
Hivyo hata hilo Gazeti kama hali ni ngumu watu 14 wanaendesha gazeti.
1.Chief Editor
2.Sub Editor
3.Business Editor
4.Sport Editor
5.Feature Editor
6.Chief Photographer
7. Staff Photographer
8. Chief Reporter
9. Staff Reporter
10. Sports Reporter
11. Page Maker
12. Graphic Editor
13. Marketing Manager
14. Circulation Manager
Kazi nyingine zote zitafanywa online na freelancers kuanzia reporters, photographers hadi freelance sales.
Kiukweli Magufuli ametuweza.
Paskali
Mkuu asante kwa mchanganuo.Wanatosha sana.

Huu ndiyo umbea na ushankupe! Taarifa hizo uwe nazo wewe tu hata wadau walio kazini wasiijue?pamoja na sababu zilizoainishwa kwenye mada hapo, zipo taarifa kuwa Bosi alitoa maelekezo ya gazeti hilo kutoandika chochote kuhusu kupotea kwa Ben Saanane, lakini mhariri Mkuu akakaidi baada ya wale vijana wa UTG wakiongozwa na Malisa GJ kulilaumu gazeti hilo kwa kitendo chake cha kulipa kisogo suala la kupotea kwa BEN.
Tusubiri mengj yanaweza kuibuliwa.
Si ni yeye huyo aliekatwa kichwaMwanahabarihuru kapona?
Lingekuwa gazeti la uhuru mngebanana humu. Posts hata 5000 zingefika ndani ya masaa mawili. Wapiga deal watajulikana tu awamu hiinarudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
...dah,aisee pole sana mkuu;kweli Mayalla ni Njaa!..itabidi ujiite Shibe sasa!Wanatosha sana.
Kwanza siungi mkono timua timua yoyote kwa sababu zozote zile lakini ni ukweli uliowazi awamu hii ya 5 sijui imekuja na nini, hivyo biashara zinapukutika, mauzo yanashuka, media nyingi zinashindwa kulipa mishahara, naifahamu TV moja kubwa ina staff 400, imetangaza retrenchment itapunguza staff 200 na kubaki na 200!.
Mimi mwenyewe Studio yangu ya PPR ilikuwa na Staff 15 nikipanga jengo zima la NHC pale Mkwepu lenye 8 rooms huku nikilipa kodi ya TZS 3.M kwa mwezi, sasa nimeshindwa, jengo nimeachia na kuhamia Posta House nimepunguza 10 people tumebaki watu 5 tuu! .
Tunatumia ICT na kufanya multiple tasks
1. Mimi Boss ndio mkurugenzi, maneja na paymasters malipo yote kwa Mpesa
2.Chief Camera ndio mtu wa light ndio mtu wa sound
3.Chief editor ndio editor ndio mtu was graphic.
4.Office manager ndio receptionist ndio secretary
5.Dereva ndio mtu wa logistics, ndio mesenja.
Hivyo hata hilo Gazeti kama hali ni ngumu watu 14 wanaendesha gazeti.
1.Chief Editor
2.Sub Editor
3.Business Editor
4.Sport Editor
5.Feature Editor
6.Chief Photographer
7. Staff Photographer
8. Chief Reporter
9. Staff Reporter
10. Sports Reporter
11. Page Maker
12. Graphic Editor
13. Marketing Manager
14. Circulation Manager
Kazi nyingine zote zitafanywa online na freelancers kuanzia reporters, photographers hadi freelance sales.
Kiukweli Magufuli ametuweza.
Paskali
..labda wasomaji wengi wa gezeti hilo walikuwa wapiga dili.
..sasa kwasababu Magufuli amewabana wapiga dili basi mauzo ya gazeti nayo yamedorora.
Úhuru media wana miezi mingapi bila kulipwa mishahara??? Bodi nzima bado ipo kazini??????mkuu Media kuingia kwenye taharuki unaliona jambo dogo na lisilo la muhimu?
magazeti yaliyokuwa yanaendeshwa kichama chama lazima yaanguke chama kikipanda nalo linapanda kikishuka nalo linashuka na hili nilishaawahi kumuonya mbowe gazeti lijitegemee na sio kila siku kukesha kukisifia chama hata kama kuna madudu
Standard ya Professionalism kwenye production inataka kila mtu a play role moja tuu ila kutokana na ukata, kazi hakuna!, hivyo media nyingi zita cut staff isipokuwa TBC na Clouds tuu!, kazi zikizidi, unakodisha watu,...dah,aisee pole sana mkuu;kweli Mayalla ni Njaa!..itabidi ujiite Shibe sasa!
...ila sijaelewa,kama mambo yanaenda kwa idadi ndogo ya watu Magufuli kawawezaje sasa;au mnalipualipua bora liende?
Hiyo atakuwa mhutu kama kaka mkubwaHari mbaya, rudi lumumba kasome,
Kaka mkubwa sio mhutu bwana! Zingekuwa haziivi na PK mpaka awe role model wake. Si unajua Wahutu na watusi mchezo ukoje?Hiyo atakuwa mhutu kama kaka mkubwa