Vijana wa lumumba ni wachawi
Wewe utakuwa Mtoto wa Mwakilishi wa Waganga wa Kienyeji kwny Bunge la Katiba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa lumumba ni wachawi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unatuandikia kisukuma huku dar? shenzi
Kugawana na mkweweFedha alizopewa na lowasa mwaka 2015 zko wapi??
Katiba ipi hiyo?Wewe utakuwa Mtoto wa Mwakilishi wa Waganga wa Kienyeji kwny Bunge la Katiba!
Mkuu salute kwa kumpa ukweli huyo kwangu pakavu tia mchuziChuki na visasi mnavyojenga dhidi ya wazawa wenye uwezo haitasaidia nchi kupata.Tende ni haki Acheni Kelele. Mbowe hajawekeza bongo tu kawekeza almost Afrika nzima, Dubai na uingereza sasa Wewe endelea kula matano pori yatakuua chakula cha Nyoka hicho
Mlio kwisha ni nyinyi mnao ishi kwa matukioMbowe amekwisha feli anatembelea ringi.
Katiba ipi hiyo?
Ndio maana sasa hivi mnaishi kama mashetaniKatiba ile mliyosusia Kumkomoa Jakaya lakini sasa Mnaitamani angalau mngeipata
Ile meli iliyokamatwa na vipusa vipi ilisharudishwa?Chadema mlipeni jama madeni yake, chama kitauzwa mnashuhudia!
Bila shaka unawashwa.....Act ina vibaraka wengi
Ushalewa mataputapuBila shaka unawashwa.....
Vibaraka kibaoBila shaka unawashwa.....
Unawashwa si bure.....Vibaraka kibao
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Mh. Mbowe amekiri kuwa na hali mbaya ya kifedha katika kuendesha kampuni yake.
Kutokana na hali hiyo amelazimika kupunguza wafanyakazi na kupunguza mishahara kwa wafanyakazi wake.
Hii imekuja baadaya ya kuripotiwa kuwa kumekuwa na hali ya kutoelewana katika Mbowe na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Mbowe.
Mbowe akiri hali ni ngumu, apunguza mishahara na idadi ya wafanyakazi katika kampuni yake - SWAHILI TIMES
Naona sasa kila mtu anajifunza kubana matumizi.
Vipi kuhusu uhuru publication?Fisadi Mbowe, kwisha habari yake
Anawashwa yule unaye mtumikiaUnawashwa si bure.....
Hao ndio wanashindia mihogo ya kuchoma na maji ya kandoroVipi kuhusu uhuru publication?
... Na ile mashine ya kuchapa magazeti waliyouza imerudi?Yes
Uhuru walilipwa
Hapa sio Lumumba ila hata chadema wakisikia was ccm kaharibikiwa wanashangilia najiuliza tangu lini tukawahurumia wengine wanao kosa ajira kwa sababu mwajiri kafirisikaVijana wa lumumba ni wachawi