Tetesi: Tanzania Daima Hali Siyo Shwari, Mhariri Mkuu, Ndugu Neville Meena Atimuliwa Kazi

Naona JPM ameingia Tanzania Daima kiaina.Hapa kazi tu.......tehe tehe kubana matumizi dadadeki
 
Magufuli kabana mianya ya kupiga madili , number einasomeka .
 
Tutasikia mengi mwaka huu.kazi ipo
 
Kama biashara haiendi namba kubwa ni kwa manufaa ya nani au ni sifa kujaza wafanyakazi wasioleta tija? CCM imepunguza watendaji na Uhuru pia imefanya hivyo hata serikali yetu imegoma kuajiri kisa pesa hakuna. Sasa mnataka Mbowe ndiye aliendelee kuwa na watu wasioleta tija kwenye kampuni?
 
Mbowe wa ajabu sana anakwepa kodi halafu halipi mishahara watumishi wake DU!
 
Magazeti mengi yatarudishwa makumbusho,Maana habari zenyewe sasa hv ni zile mtukufu anazotaka tu.
 
mkuu Media kuingia kwenye taharuki unaliona jambo dogo na lisilo la muhimu?

Mwanahabarihuru kapona?
 
narudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Watu wanatimuliwa kazini anasema ni minor issue! Au kwakuwa inamhusu bosi wako Mbowe?
 
Ruzuku ya chama si inatoka kama kawaida au? ?
 
narudia tens wandugu tushiriki kujadili mambo ya msingi yatakayotukwamua toka hapa tulipo,,tuachane na minor issues kama hizi
Kwahiyo unataka kutuambia kutumbua mtu sababu ya wafanyakazi hewa sio jambo la msingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…